Wajua mchawi anaweza kumuuwa mtu ampendaye huku analia kuliko ambao hawajui marehemu kafa na nini?

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha,
Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe kafara mtu kama huyo,huwa anakuwa hana jinsi ukitegemea kishakula nyama za wenzake na huwa anaambiwa asipomtoa kafara atakufa yeye,
 
Kwanini riwaya yako umeitoa leo?
Haihusiana na yaliyotokea leo,bali kuna mtu najua katika familia fulani,wanampigia timing wamtoe kafara,sasa najalibu kumkingia kifua yasimkute bila yeye kujua,
Angalizo usipende kwenu hasa katika kipindi cha mikutaniko maalumu mfano,alobaini,ndoa sikuku za kukutana pamoja zilizopangwa watu huwa wanapigiwa hesabu bila wao kujua,
Tofauti na kifo ni tukio la ghafla huwa wachawi wanashindwa kuyapata mawindo yao
 
Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha,
Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe kafara mtu kama huyo,huwa anakuwa hana jinsi ukitegemea kishakula nyama za wenzake na huwa anaambiwa asipomtoa kafara atakufa yeye,
Kwani kuna vyama vya kichawi, mpaka leo!
 
Back
Top Bottom