maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Haihusiana na yaliyotokea leo,bali kuna mtu najua katika familia fulani,wanampigia timing wamtoe kafara,sasa najalibu kumkingia kifua yasimkute bila yeye kujua,Kwanini riwaya yako umeitoa leo?
Kwani kuna vyama vya kichawi, mpaka leo!Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha,
Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe kafara mtu kama huyo,huwa anakuwa hana jinsi ukitegemea kishakula nyama za wenzake na huwa anaambiwa asipomtoa kafara atakufa yeye,
Ndiyo,mchawi huwa hafanyi kazi peke yakeKwani kuna vyama vya kichawi, mpaka leo!