Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

SOMA KUHUSU UISLAM KWANZA NDIO ULETE HOJA
 
Hata hilo unalosema ni hekalu lililojengwa na Sulemani ambalo lilivunjwa na Warumi, halikujengwa na Sulemani,bali lilijengwa na Wayahudi baada ya kurudi kutoka uhamishoni Babeli, hekalu la Sulemani lilivunjwa na mfalme Nebukadreza mwaka 586 BC
Halikujengwa na Nabii Suleiman. Ila watu wengi wanaamini, wakiwemo wayahudi, Nabii Suleiman alijenga hilo hekalu na mabaki ya sanduku la maagano liko hapo.
Ugomvi wa leo wa kidini hauna tija, sababu hata wakati wa crusades, hakuna aliyetoka mshindi
 
Samahani Suleiman alikuwa ni mfalme je alikuwa ni mfalme wa taifa gani?
 
Uislamu wa ujumla huu ni ule ambao mitume na manabii wote waliufundisha ya kwamba aabudiwe Mola peke yake wala wasimshirikishe na chochote na kuwapiga vita mataghuti na washirikina kwa hali zao zote. Mafundisho haya yalifundishwa na mitume wote na manabii,ndiyo kuanzia Nuhu mpaka Mtume muhammad imani yao ilikuwa moja.

Hadi sasa Mayahudi ni monotheists na hawajawahi kukengeuka . Je nao ni waislam wa jumla?
 
Unathbitshaje kama suleiman alikuwa mwislamu na sio myahudi...?
 
Kwa hiyo hao wanathibitisha kuwa Adam,Nuhu,Ibrahim na musa walikuwa ni Waislam.
 
uislam sio dini iliyo letwa na MTUME MUHAMMAD SAW. maana ya neno uislam means to submit to will of GOD. Kwahyo kilicho badilika ni practice tu ya uislam. Kwasababu mitume wote wanatoka kwenye uzao mmoja kwa maana babu yao ni IBRAHIM AS.
Kwa hiyo Watu wote wanaotii maagizo na shauri la Mungu ni Waislam.Hata Wakristo wanaotii maagizo ya Mungu ni Waislam
 
Kwa hiyo Watu wote wanaotii maagizo na shauri la Mungu ni Waislam.Hata Wakristo wanaotii maagizo ya Mungu ni Waislam
Yes, na ukianza leo kufuata mafundisho sahihi utajikuta Automatic unakua muisilamu. Mfano Soma Biblia, Fuata mila za mtume,
-Swali kama wanavyoswali mitume utajikuta unasujudu na kurukuu kama waisilamu.
-vaa kama walivyovaa mitume utajikuta unavaa kama waisilamu.

Leo hii waisilamu wanafuata matendo mengi ya Yesu kuliko wakristo wenyewe ambao wanamsifia kwa mdomo ila vitendo ni sifuri.
 
Kwa hiyo Watu wote wanaotii maagizo na shauri la Mungu ni Waislam.Hata Wakristo wanaotii maagizo ya Mungu ni Waislam
Yes kinacho badilika ni practice
Hujiulizi kwanini mitume karibia yote tuna fanana.
Hata Yesu sisi kwetu tuna muita Issa bin Mariam AS.
Kwa vile dini ya ukristo ili ingia fitna kwa maana wayahudi hawakupenda mafundisho yake pamoja na uzao wake kwa maana alizaliwa familia duni alafu tena zizini. Ndio mafundisho watu waka yachakachua.
Waislam tuna amini mafundisho yote ya Yesu lakini kuna ambayo tuna kataa sababu yame andikwa na watu ambao hata Yesu hawaja wahi kumuona au kuishi zama zake pia kipindi hiko records za biblia zimekuwa compiled lakini nyingi zime editiwa. Sio asili kama mapokezi yake mwenyewe. Pia waandishi wa biblia wanakubali kufanya hivo.
Ndio maana tunasema ukitaka uujue ukweli soma pia na uislam hapo utapata majibu mengi ya maswali usiyopata majibu.
 
Muislam wa kwanza ni Mudy
Hapana sio kweli
Uislam ni mfumo wa maisha ya mwanadamu ambao unakuja kama tamaduni.
Simple knowledge tu kwanini Yesu alikuwa anafuga ndevu au kwanini Nabii Mussa alikuwa pia anafuga ndevu na kwanini wachungaji na mapadri hawafugi hizo ndevu?
 
Kwa hiyo hao wanathibitisha kuwa Adam,Nuhu,Ibrahim na musa walikuwa ni Waislam.
Usibabaike na neno uislam.
Uislam means submission to will of Allah. Kwa maana mtu yeyote hata wewe hapo ukiwa unafuata mafundisho yake mwenyezi Mungu kupitia kwa mitume yake ni uislam. Sasa tofauti inakuja mnapo kataa mtume Mohammad SAW kwamba ni wa waislam peke yao.
Kwanini usifanye uchunguze ujue Mtume huyu wa waislam asili yake au uzao wake unatoka wapi ?
Angalia vita hii ya Israel na Palestina kwa umakini utajua ukweli uko wapi?
 
Unathbitshaje kama suleiman alikuwa mwislamu na sio myahudi...?
Uyahudi ni imani kama tu ukristo . Kwahyo sasa tofauti ni kwamba mtume Suleiman alitumwa kama mitume mengine katika zama zake kueneza utukufu wa Mungu. Lakini hawa mayahudi hawa wa zama hizi wengi wapo kwenye mfumo wa Zionism ambao ni wa kibaguzi
 
Kama nilivyosema huko juu, mitume waliswali, walisujudu wakati wanamuomba mungu, walifunga, walitoa Mali zao kwa.masikini, walihiji na kuamini mungu mmoja. Wala huhitaji kusoma Quran Soma biblia utapata Ushahidi wote huo.

Leo hii ukifuata yote hayo hapo juu utaitwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…