Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

nani kakudanganya ikiwa hata historia tu inawakana...hakuna asiyejua jinsi historia ilivyotunzwa vzr kuhusu HEKALU la suleimani, na kubomolewa kwake mara kwa mara....


cha ajabu uislamu unadanganya watu MARA ohoo ibrahimu alijenga msikiti mara suleiman ndio kajenga, historia ipo wazi kabla ya muhamadi hapakuwahi kuwepo msikiti wala DINI inayoitwa uislamu,


HISTORIA kuhusu dini kama UHINDU, iliyokuwepo hata kabla ya yesu, hadi leo zipo, iwe uislamu wa juzi tu miaka ya 600 baada ya YESU...


hapa nitakufundisha hadi msikiti wa kwanza ulijengwa lini
SOMA KUHUSU UISLAM KWANZA NDIO ULETE HOJA
 
Hata hilo unalosema ni hekalu lililojengwa na Sulemani ambalo lilivunjwa na Warumi, halikujengwa na Sulemani,bali lilijengwa na Wayahudi baada ya kurudi kutoka uhamishoni Babeli, hekalu la Sulemani lilivunjwa na mfalme Nebukadreza mwaka 586 BC
Halikujengwa na Nabii Suleiman. Ila watu wengi wanaamini, wakiwemo wayahudi, Nabii Suleiman alijenga hilo hekalu na mabaki ya sanduku la maagano liko hapo.
Ugomvi wa leo wa kidini hauna tija, sababu hata wakati wa crusades, hakuna aliyetoka mshindi
 
Weka ushahidi wa hiki ulichokiandika. Msikiti wa kwanza ni wa Makka rejea katika Sahihi Bukhari kisha masjid al Aqsa na mtume akasema tofauti ya umri baina ya misikiti hiyo ni miaka 40.

Jiamboe wewe sasa Hekalu kwa nabii Suleyman alikuwa analifanyia nini ?

Hapa kwenye "chain" ndiyo huwa mnapoteana,kama hujui nini chain,wewe endelea kujadiliana na mimi kama hutakimbia hii mada. Sisi tunataka chain,hizi hanari mnazipata wapi ? Elimu hurithishwa vizazi na vizazi.

Suleyman alikuwa dini gani ? Niambie na unipe ushahidi.

Nipo ...
Samahani Suleiman alikuwa ni mfalme je alikuwa ni mfalme wa taifa gani?
 
Hii ilikuwa lini ? Bado tunaduru katika Historia,nataka nikuonyeshe Historia sahihi ni ile yenye "chain".

Usiniulize swali ambalo unapaswa kujibu wewe,hekalu ni nini ? Ni kanisa ? Au hekalu ni soko ?

Huwa najiuliza inakuwaje mnajadili mambo msiyo kuwa na elimu nayo ?

Uislamu umegawanyika sehemu kuu mbili :

1. Uislamu wa ujumla huu ni ule ambao mitume na manabii wote waliufundisha ya kwamba aabudiwe Mola peke yake wala wasimshirikishe na chochote na kuwapiga vita mataghuti na washirikina kwa hali zao zote. Mafundisho haya yalifundishwa na mitume wote na manabii,ndiyo kuanzia Nuhu mpaka Mtume muhammad imani yao ilikuwa moja.

2. Kuna Uislamu maalumu ambao huu amekuja nao Mtume Muhammad.

Usipate shida kijana,thibitisha wapi Suleyman alikuwa myahudi,sababu Uyahudi ulilaaniwa kwa ulimi wa Yesu (Issa) na ulimi wa Dawood (Baba yake Suleyman).

Ukinithibitishia ya kuwa Suleyman alikuwa Myahudi kiimani mimi nitakuwa Myahudi.

Wewe niambie tu lini Uyahudi ulianza na nani alikuwa wa mwanzo katika dini hii. Hizi stori nyingine hazina maana hapa,sababu hazielezei chimbuko la Uyahudi.

Ushawahi kukisoma hicho kitabu kwanza ? Ukweli uko hivi baada ya Qur'aan kwa usahihi hakuna kitabu kinazidi sahihi Bukhari kwa usahihi,kusanya vitabu vyote mpaka vya Sayansi hakuna duniani.

Sasa unatakiwa ujiuliza Bukhari ni nani na alikusanya vipi hizo hadithi je aliota au ilikuwaje kisha uje kujadiliana na mimi kuhusu Hadithi. Elimu yake ni elimu yenye sharafu.

Ndiyo maana sisi tunataka chain,Bukhari alikuwa na chain inayofika mpaka kwa mtume kupitia watu walio waona wanafunzi wa mtume mpaka walio muona mtume. Leo hii hapo ulipo unaamini ya kuwa Isaac Newton alikuwepo lakini tukikuuliza unamjua yeyote aliyemuona Newton na akatupasha sisi habari mpaka kufika leo hii,swali hili huwezi kujiuliza zaidi ya kukariri nw kufurahia stori za Sayansi,lakini huki kwetu lazima tumjue nani amesimulia toka kwa nani mpaka inafika kwa wa kwanza. Hii ndiyo Elimu ya Haidithi.

Tuendelee...
Uislamu wa ujumla huu ni ule ambao mitume na manabii wote waliufundisha ya kwamba aabudiwe Mola peke yake wala wasimshirikishe na chochote na kuwapiga vita mataghuti na washirikina kwa hali zao zote. Mafundisho haya yalifundishwa na mitume wote na manabii,ndiyo kuanzia Nuhu mpaka Mtume muhammad imani yao ilikuwa moja.

Hadi sasa Mayahudi ni monotheists na hawajawahi kukengeuka . Je nao ni waislam wa jumla?
 
Hujui chochote kuhusu Uyahudi. Si maana ya Uyahudi Wala Historia.

Historia inasema jina la Uyahudi limetokana na mtoto wa Jacobi, huyu Jacobo alikuwa mjukuu wa nabii Ibrahim halafu Leo unasema Ibrahim alikuwa Myahudi.

Manabii hawawezi kuwa Mayahudi, sababu Uyahudi ni Ukafiri.
Unathbitshaje kama suleiman alikuwa mwislamu na sio myahudi...?
 
Kama shida yako ni kujua ukweli, hutoupata kwenye Mitandao ya kijamii, tafuta wasomi, hata sio lazima wasomi wa kiisilamu, tafuta wasomi wa Historia ambao ni verified kabisa wamebobea Hio field miaka na miaka wame dedicate maisha yao kufanya tafiti hizo.

Historia ya Jerusalem na Crusaders kuanzia mtafute Proffesor Roy Casagranda wa Chuo cha Austin Texas Marekani, Jamaa amebobea Historia ya Middle East na lectures zake ni Public anaziweka youtube, search tu jina lake youtube na Neno Crusaders kwa mbele.
Kwa hiyo hao wanathibitisha kuwa Adam,Nuhu,Ibrahim na musa walikuwa ni Waislam.
 
uislam sio dini iliyo letwa na MTUME MUHAMMAD SAW. maana ya neno uislam means to submit to will of GOD. Kwahyo kilicho badilika ni practice tu ya uislam. Kwasababu mitume wote wanatoka kwenye uzao mmoja kwa maana babu yao ni IBRAHIM AS.
Kwa hiyo Watu wote wanaotii maagizo na shauri la Mungu ni Waislam.Hata Wakristo wanaotii maagizo ya Mungu ni Waislam
 
Kwa hiyo Watu wote wanaotii maagizo na shauri la Mungu ni Waislam.Hata Wakristo wanaotii maagizo ya Mungu ni Waislam
Yes, na ukianza leo kufuata mafundisho sahihi utajikuta Automatic unakua muisilamu. Mfano Soma Biblia, Fuata mila za mtume,
-Swali kama wanavyoswali mitume utajikuta unasujudu na kurukuu kama waisilamu.
-vaa kama walivyovaa mitume utajikuta unavaa kama waisilamu.

Leo hii waisilamu wanafuata matendo mengi ya Yesu kuliko wakristo wenyewe ambao wanamsifia kwa mdomo ila vitendo ni sifuri.
 
Kwa hiyo Watu wote wanaotii maagizo na shauri la Mungu ni Waislam.Hata Wakristo wanaotii maagizo ya Mungu ni Waislam
Yes kinacho badilika ni practice
Hujiulizi kwanini mitume karibia yote tuna fanana.
Hata Yesu sisi kwetu tuna muita Issa bin Mariam AS.
Kwa vile dini ya ukristo ili ingia fitna kwa maana wayahudi hawakupenda mafundisho yake pamoja na uzao wake kwa maana alizaliwa familia duni alafu tena zizini. Ndio mafundisho watu waka yachakachua.
Waislam tuna amini mafundisho yote ya Yesu lakini kuna ambayo tuna kataa sababu yame andikwa na watu ambao hata Yesu hawaja wahi kumuona au kuishi zama zake pia kipindi hiko records za biblia zimekuwa compiled lakini nyingi zime editiwa. Sio asili kama mapokezi yake mwenyewe. Pia waandishi wa biblia wanakubali kufanya hivo.
Ndio maana tunasema ukitaka uujue ukweli soma pia na uislam hapo utapata majibu mengi ya maswali usiyopata majibu.
 
Muislam wa kwanza ni Mudy
Hapana sio kweli
Uislam ni mfumo wa maisha ya mwanadamu ambao unakuja kama tamaduni.
Simple knowledge tu kwanini Yesu alikuwa anafuga ndevu au kwanini Nabii Mussa alikuwa pia anafuga ndevu na kwanini wachungaji na mapadri hawafugi hizo ndevu?
 
Kwa hiyo hao wanathibitisha kuwa Adam,Nuhu,Ibrahim na musa walikuwa ni Waislam.
Usibabaike na neno uislam.
Uislam means submission to will of Allah. Kwa maana mtu yeyote hata wewe hapo ukiwa unafuata mafundisho yake mwenyezi Mungu kupitia kwa mitume yake ni uislam. Sasa tofauti inakuja mnapo kataa mtume Mohammad SAW kwamba ni wa waislam peke yao.
Kwanini usifanye uchunguze ujue Mtume huyu wa waislam asili yake au uzao wake unatoka wapi ?
Angalia vita hii ya Israel na Palestina kwa umakini utajua ukweli uko wapi?
 
Unathbitshaje kama suleiman alikuwa mwislamu na sio myahudi...?
Uyahudi ni imani kama tu ukristo . Kwahyo sasa tofauti ni kwamba mtume Suleiman alitumwa kama mitume mengine katika zama zake kueneza utukufu wa Mungu. Lakini hawa mayahudi hawa wa zama hizi wengi wapo kwenye mfumo wa Zionism ambao ni wa kibaguzi
 
Kama nilivyosema huko juu, mitume waliswali, walisujudu wakati wanamuomba mungu, walifunga, walitoa Mali zao kwa.masikini, walihiji na kuamini mungu mmoja. Wala huhitaji kusoma Quran Soma biblia utapata Ushahidi wote huo.

Leo hii ukifuata yote hayo hapo juu utaitwa nani?
 
Back
Top Bottom