Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
Shida yenu ni kwamba huo uongo mnaodanganywa huko makanisani ndio mnauleta katika discussionHivi nyie mnajielewa kweli?
Hivi unajua mwanzo wa Dini za Abrahamic?
Abraham na wanawe hawajawahi kuabudu kwenye dini yeyote iwe Uyahudi,Ukristo na Uislamu
Kwanza huyo Abram alikua anaabudu Miungu ya Wakaldayo kabla Elohim hajamtokea na kwa Taarifa yako Wakaldayo waliabudu miungu ya Zoadic yaani Miungu ya Babel
Sasa ukija na abracadabra za kua alikua Muslim nakuona hamnazo maana hizo dini zote mbeleni zilikuja maelfu ya miaka mbele baada ya hao watu kutoweka
Hivi nyie hicho kitabu chenu kimejaa uongo na uzushi ambao hata historical background inawapiga chenga halafu mnadai kilishushwa na mungu Allah
Hio inadhihilisha huyo mungu wenu kilaza na hana historical information,
Someni historia acheni kulishana nyanyachungu wazee!
😁😁
Huo uongo wa huko kanisani mnaita DOGMA uishie huko huko hapa lete ushahidi wa mandiko
Kuna watu kama wewe kipindi hicho Cha Mtume walijifanya wanajua sana hapo Allah anawauliza
Mlikuwepo kipindi Cha hao watu au mnazua zua tu
Quran2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
Sasa hayo unayoyasema kuwa Ibrahim, Isaka na Yakobo na wanawe Yakobo hawakuwa waislam unatakiwa utoe ushahidi wa mandiko kuwa dini Yao ni ipi hizo DOGMA zenu pelekeni huko kanisani