Wajuba msaada kwenye bajeti

Wajuba msaada kwenye bajeti

Kumbe kuna watu muna mishahara Mikubwa kabisa aisee sisi wengine hata 300k haifiki na tuna save 145,000 per month
 
Pesa ndefu mno>>> save sana kuliko expenditure uko katika initial stage ya kujenga uchumi then why showoff?
 
Hapa nakaa chumba cha laki ambacho ni master na jiko,so nikipanga cha 50k ni kurudi nyuma kimaisha
Ila kuna wakati inakubidi urudi nyuma ili uweze kwenda mbele. Kwa hali hiyo huwezi kuuza hilo gari lako kama unavyoshauriwa kwa kuchelea kurudi nyuma kimaisha. Kwa hali hii hatuna cha kukushauri we endelea mbele kimaisha.
 
Ukituliza akili ela iyo sio nyingi lakini pia unaweza kufanyia mambo mengi kabla ya kuanza kuwa na familia
 
Back
Top Bottom