DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Kumbe kuna watu muna mishahara Mikubwa kabisa aisee sisi wengine hata 300k haifiki na tuna save 145,000 per month
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka hapo unapolipa 250,000 najua unaogopa washikaji+mademu zako watakuona umefulia lkn amini nakwambia watakuheshimu baada ya muda.plot tayari ninayo
Ila kuna wakati inakubidi urudi nyuma ili uweze kwenda mbele. Kwa hali hiyo huwezi kuuza hilo gari lako kama unavyoshauriwa kwa kuchelea kurudi nyuma kimaisha. Kwa hali hii hatuna cha kukushauri we endelea mbele kimaisha.Hapa nakaa chumba cha laki ambacho ni master na jiko,so nikipanga cha 50k ni kurudi nyuma kimaisha