D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,011 Reaction score 4,705 Sep 8, 2022 #61 Kumbe kuna watu muna mishahara Mikubwa kabisa aisee sisi wengine hata 300k haifiki na tuna save 145,000 per month
Kumbe kuna watu muna mishahara Mikubwa kabisa aisee sisi wengine hata 300k haifiki na tuna save 145,000 per month
Msokwa1 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 477 Reaction score 526 Sep 8, 2022 #62 Pesa ndefu mno>>> save sana kuliko expenditure uko katika initial stage ya kujenga uchumi then why showoff?
Pesa ndefu mno>>> save sana kuliko expenditure uko katika initial stage ya kujenga uchumi then why showoff?
co fm JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,541 Reaction score 2,487 Sep 12, 2022 Thread starter #63 Msokwa1 said: Pesa ndefu mno>>> save sana kuliko expenditure uko katika initial stage ya kujenga uchumi then why showoff? Click to expand... Ok boss
Msokwa1 said: Pesa ndefu mno>>> save sana kuliko expenditure uko katika initial stage ya kujenga uchumi then why showoff? Click to expand... Ok boss
M muvangulumemile JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 686 Reaction score 966 Sep 12, 2022 #64 co fm said: plot tayari ninayo Click to expand... Toka hapo unapolipa 250,000 najua unaogopa washikaji+mademu zako watakuona umefulia lkn amini nakwambia watakuheshimu baada ya muda.
co fm said: plot tayari ninayo Click to expand... Toka hapo unapolipa 250,000 najua unaogopa washikaji+mademu zako watakuona umefulia lkn amini nakwambia watakuheshimu baada ya muda.
K KUTATABHETAKULE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,159 Reaction score 5,070 Sep 12, 2022 #65 co fm said: Hapa nakaa chumba cha laki ambacho ni master na jiko,so nikipanga cha 50k ni kurudi nyuma kimaisha Click to expand... Ila kuna wakati inakubidi urudi nyuma ili uweze kwenda mbele. Kwa hali hiyo huwezi kuuza hilo gari lako kama unavyoshauriwa kwa kuchelea kurudi nyuma kimaisha. Kwa hali hii hatuna cha kukushauri we endelea mbele kimaisha.
co fm said: Hapa nakaa chumba cha laki ambacho ni master na jiko,so nikipanga cha 50k ni kurudi nyuma kimaisha Click to expand... Ila kuna wakati inakubidi urudi nyuma ili uweze kwenda mbele. Kwa hali hiyo huwezi kuuza hilo gari lako kama unavyoshauriwa kwa kuchelea kurudi nyuma kimaisha. Kwa hali hii hatuna cha kukushauri we endelea mbele kimaisha.
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,199 Reaction score 2,403 Sep 12, 2022 #66 Ukituliza akili ela iyo sio nyingi lakini pia unaweza kufanyia mambo mengi kabla ya kuanza kuwa na familia
Ukituliza akili ela iyo sio nyingi lakini pia unaweza kufanyia mambo mengi kabla ya kuanza kuwa na familia