Wajuba msaada kwenye bajeti

Wajuba msaada kwenye bajeti

Vijana wanafikiri maisha ni siku moja au yataisha Leo ndio maana wanataka kuyatumia vilivyo.

Nunua Gari ndogo Kwa kijana Mdogo, isiyokula Mafuta.
Panga chumba master cha walau Tsh 80,000/= Kama haujaoa.
Mwaka mmoja, nunua kiwanja. Kusanya pesa miaka mifano Jenga. Ukishamaliza,
Anza STAREHE zako, panga nyumba utakavyo, nunua Gari utakalo.

Ukifukuzwa kazi, Rudi kwenye nyumba yako, uza matembele maisha yaendelee
oh kumbe skuhzi kuna gari hazili mafuta zinakula nn sasa. hebu acheni kutishia vijana washaurini wanunue magari yenye injini kubwa waenjoy maisha
 
Hbr za humu wadau,

Ninaomba muongozo kwa malegend jinsi gani ninaweza survive kwa mshahara wa 895k per month baada ya makato yote...chini hapa ni ufafanuzi wa jinsi naweza kugawanya.
1. Kodi 250,000
2. Mafuta ya gari 200,000
3. Wazazi 100,000
4. Matumizi etc 200,000
5. Saving ni amount iliyobaki ambayo ni 145,000.

Je, kwa wenye uzoefu hapo juu naweza kutoboa au kama kuna changamoto how to go about?
Tumia baiskeli upunguze gharama za mafuta.
 
Hbr za humu wadau,

Ninaomba muongozo kwa malegend jinsi gani ninaweza survive kwa mshahara wa 895k per month baada ya makato yote...chini hapa ni ufafanuzi wa jinsi naweza kugawanya.
1. Kodi 250,000
2. Mafuta ya gari 200,000
3. Wazazi 100,000
4. Matumizi etc 200,000
5. Saving ni amount iliyobaki ambayo ni 145,000.

Je, kwa wenye uzoefu hapo juu naweza kutoboa au kama kuna changamoto how to go about?
Wazazi huwatumiagi pesa hiyo unaweka humu kuturidhisha kukwepa mashambulizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Achana na 80k mkuu, 50k unapata chumba cha master saaafi kabisa... Kikubwa na chenye kila kitu ndani...

Limtu liko single unaenda kukaa nyumba ya 250k ya nini? Kwani una wakwe kwamba atakuja kukutembelea wakose pa kulala?😂😂
Hapa nakaa chumba cha laki ambacho ni master na jiko,so nikipanga cha 50k ni kurudi nyuma kimaisha
 
Bila shaka wewe ni wale mmekulia familia za mboga saba.

Kama umekulia madongo kuinama kama mimi usingekuwa unawaza nyumba ya 250k, gari, na vikorokoro vingine unnecesary.

Yani uwe na take home ya 850K, kisha usevu 145k kwa mwezi na uko single? Hizo ni akili ama matope?[emoji23][emoji23]

Mimi hapo mshahara wa kwanza ningehakikisha nalipa nyumba miezi 6(600k kwa rate ya 100k per month), kisha ningehakikisha kwa mwezi nasevu 500/400k, i.e kwa mwezi natumia 350k kwenye mambo yote.

Ukijibana ivo ndani ya miezi 10 tuu unakuwa na 5/6M yako iliyonyooka. Ukiendelea ivo ndani ya miaka 2 unakuwa umeshapiga hatua kubwa sana ukitukiza akili.
Umeandika point tupu mkuu ila tatizo mwandiko wako unachosha kusoma..utadhani umeandika shairi bana!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanafikiri maisha ni siku moja au yataisha Leo ndio maana wanataka kuyatumia vilivyo.

Nunua Gari ndogo Kwa kijana Mdogo, isiyokula Mafuta...
Ankali ROBERT HERIEL kuna wakati unafikiria mbali sana

Kumbe hua kuna kufukuzwa kazi alimaarufu km redundancy ikikumba imekukumba

Nimechukua notice tayari hili somo nmeweka kwenye kumbukumbu zangu mkuu

COMPreNde
😊
 
Mkuu nimekuuliza kazi yako Ina amgalau per diem hapa katikati.
 
Inaon
Mimi 850,000/= ningeifanyia hivi:

1. Ningeamia sehemu 150,000/= hafu nitakeep a car, ila nikiamia 250,000/= am ditching a car, unless nina biashara nyingine ambayo gari ni muhimu.

2. Wazazi na ndugu, michango ya ndoa, kila kitu ndio 100,000/= kwa mwezi.

3. Kula 300,000 kwa mwezi.

4. Gari NO.

5. Kusema kweli savings uwongo. Labda ukatwe moja kwa moja kwenye mshahara ila kuweka mwenyewe uwongo. Badala ya saving ningefungua kijiwe.

6.BILLS za Maji, umeme, takataka, ulinzi wa mtaani, etc 50,000/=

7. Mavazi, saloon, Msfuta, sabuni etc 100,000

8. Starehe 100,000/=

Hope imezidi kidogo au imepungua kidogo...

Faida za kuacha gari:
Mafuta kadiria elfu 10 kwa siku.
Kuosha elfu 20 kw mwezi.
Service
Emergency kama ajali trafic
Parking za Mlimani na unapolala
Kuonekana una hela wkt kawaida
Mademu kusema nipeleke sehemu
Etc etc

Sikushawishi lakini nina mwezi wa 2 tokea niuze gari naona mabadiriko flani. Sio kwamba halina faida, zipo nyingi sanaa, ila nasikilizia kidogo. Kama Fap challenge.. 🤣🤣
Inaonekana kufanya saving ni ngumu kwa watu wengi
 
Ankali ROBERT HERIEL kuna wakati unafikiria mbali sana

Kumbe hua kuna kufukuzwa kazi alimaarufu km redundancy ikikumba imekukumba

Nimechukua notice tayari hili somo nmeweka kwenye kumbukumbu zangu mkuu

COMPreNde
😊

Mbali na hivyo kuna Ajali zipo nyingi tuu, unaweza kupatwa na ugonjwa au Ajali itakayokufanya ushindwe kuendelea na kazi.
Alafu muda huo hauna nyumba, mbona chamoto utakipata.
 
Back
Top Bottom