Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk

Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako.

Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali.

1. Huwezi Hudumia Wateja aina zote
2. Huwezi Mfurahisha kila Mteja

Hizo ni FACTS mbili muhimu zinatakiwa zikae kichwani mwako.

Wateja tumewagawa kulingana na Vipato vyao.

1. Mteja wa Kipato cha Juu
2. Mteja wa Kipato cha kati
3. Mteja wa kipato cha chini

Unapofungua biashara yako ili utusue ni lazima ujue hii biashara naenda ifungua kwa ajili ya kina nani?

Mfano :

Mtu anafungua biashara ya chakula/mgahawa ana weka viti vya cello, maturubai kwa nnje,sahani za bati zile za vyumba vyumba,nk

Yani vitendea kazi na mazingira tu tayari vinaonyesha anawalenga wateja wa kipato cha Chini.

Anapobugi anaweka BEI za vyakula anachouza za WATEJA WA KIPATO CHA JUU wakati mazingira ya walalahoi BEI Premium.. "lazima ufeli"

Mwingine anafungua Mgahawa anauweka kisasa sanaa kila kitu cha kisasa bei ndani anaweka za wateja wa kipato cha Chini.

Huyu nae hawezi toboa kwann? Gharama ya kuendesha ofisi yake ni kubwa kuliko bei anazowapa wateja, atafanikiwa mwanzoni lakini hatodumu kwenye biashara husika.

Sababu, anauza wali nyama 1500 kwa siku anatengeneza faida Mfano : 50k ni faida nzuri sio haba.

Kumbuka Ofisi yako ni CLASSIC ikiharibika AC gharama ya kuitengeneza inakula faida yako ya WIKI NZIMA.

ikiungua Friji Marekebisho faida ya siku 4,nk nk

Kuna mambo mengi ya kuzingatia tunapofungua biashara zetu lakini kikubwa chakukuweka MJINI wakati wote unatakiwa ufahamu biashara yako umeifungua kwa ajili ya wateja gani.

Kila kundi la wateja lina pesa na ni zuri ukijua namna gani uwawekee mazingira na uwape huduma kulingana na kundi lao.

Kama unaanza biashara ni mgeni na unataka tengeneza jina

Deal na wateja wa Kipato Cha Chini

Kama umeshakaa kwa biashara muda mrefu unataka ku upgrade Rukia Kundi la wateja Premium (wateja wa juu)

Kundi la wateja wa Kipato cha Kati hawa wanaingia popote Anaweza enda nunua simu M/city nyanya akaenda nunua Tandale sokoni hili kundi sio la kuwazingatia sanaaa maji kupwa maji kujaa wanaenda kadri wanavyojiskia.

Ukiweza Jua Mtaji wako ufungue biashara aina gani na wateja wako aina gani nakuhakikishia utatoboa.

Siri ya kutochoma mtaji ipo eneo hili la kujua aina ya wateja

Ukiamua kufanya biashara ya SIMU kwa wateja wa chini wawekee vinokia vya tochi,itel,vivo,nk jaza kabatiiii

Usije jichanganga ukaweka nokia tochi,vivo, halafu ukatupia kabatini na iphone 16 na iphone 15, nakuhakikishia Hizo iphone utauza nazo sura hadi utakuja ziuza kwa hasara, WHY?

Sio kwamba hamna wateja wa iphone ila sababu ni kwamba iphone hizo ni za wateja PREMIUM ila umeiweka bidhaa yao kwenye mazingira ya kitandale, hawawezi kuiamini bidhaa yako wala kukuamini muuzaji hata kama utakua unauza GENUINE IPHONE.

Hivyo hakikisha unaponunua bidhaa zako pia zingatia unawanunulia wateja gani, Usichanganye bidhaaa deal na kundi 1 baada ya jingine, ukimaliza kundi A ingia kundi B then kundi C.

Tuendelee Kupambana...

#CONTROLA
 
1.Huwezi Hudumia Wateja aina zote
2.Huwezi Mfurahisha kila Mteja

Hizo ni FACTS mbili muhimu zinatakiwa zikae kichwani mwako.

Wateja tumewagawa kulingana na Vipato vyao.

1.Mteja wa Kipato cha Juu
2..Mteja wa Kipato cha kati
3.Mteja wa kipato cha chini

Unapofungua biashara yako ili utusue ni lazima ujue hii biashara naenda ifungua kwa ajili ya kina nani?

Mfano :

Mtu anafungua biashara ya chakula/mgahawa ana weka viti vya cello, maturubai kwa nnje,sahani za bati zile za vyumba vyumba,nk

Yani vitendea kazi na mazingira tu tayari vinaonyesha anawalenga wateja wa kipato cha Chini.

Anapobugi anaweka BEI za vyakula anachouza za WATEJA WA KIPATO CHA JUU wakati mazingira ya walalahoi BEI Premium.. "lazima ufeli"

Mwingine anafungua Mgahawa anauweka kisasa sanaa kila kitu cha kisasa bei ndani anaweka za wateja wa kipato cha Chini...

Huyu nae hawezi toboa kwann? Gharama ya kuendesha ofisi yake ni kubwa kuliko bei anazowapa wateja, atafanikiwa mwanzoni lakini hatodumu kwenye biashara husika.

Sababu, anauza wali nyama 1500 kwa siku anatengeneza faida Mfano : 50k ni faida nzuri sio haba.

Kumbuka Ofisi yako ni CLASSIC ikiharibika AC gharama ya kuitengeneza inakula faida yako ya WIKI NZIMA.

ikiungua Friji Marekebisho faida ya siku 4,nk nk

Kuna mambo mengi ya kuzingatia tunapofungua biashara zetu lakini kikubwa chakukuweka MJINI wakati wote unatakiwa ufahamu biashara yako umeifungua kwa ajili ya wateja gani.

Kila kundi la wateja lina pesa na ni zuri ukijua namna gani uwawekee mazingira na uwape huduma kulingana na kundi lao.

Kama unaanza biashara ni mgeni na unataka tengeneza jina

Deal na wateja wa Kipato Cha Chini

Kama umeshakaa kwa biashara muda mrefu unataka ku upgrade Rukia Kundi la wateja Premium (wateja wa juu)

Kundi la wateja wa Kipato cha Kati hawa wanaingia popote Anaweza enda nunua simu M/city nyanya akaenda nunua Tandale sokoni hili kundi sio la kuwazingatia sanaaa maji kupwa maji kujaa wanaenda kadri wanavyojiskia.

Ukiweza Jua Mtaji wako ufungue biashara aina gani na wateja wako aina gani nakuhakikishia utatoboa.

Siri ya kutochoma mtaji ipo eneo hili la kujua aina ya wateja

Ukiamua kufanya biashara ya SIMU kwa wateja wa chini wawekee vinokia vya tochi,itel,vivo,nk jaza kabatiiii

Usije jichanganga ukaweka nokia tochi,vivo, halafu ukatupia kabatini na iphone 16 na iphone 15, nakuhakikishia Hizo iphone utauza nazo sura hadi utakuja ziuza kwa hasara, WHY?

Sio kwamba hamna wateja wa iphone ila sababu ni kwamba iphone hizo ni za wateja PREMIUM ila umeiweka bidhaa yao kwenye mazingira ya kitandale, hawawezi kuiamini bidhaa yako wala kukuamini muuzaji hata kama utakua unauza GENUINE IPHONE.

Hivyo hakikisha unaponunua bidhaa zako pia zingatia unawanunulia wateja gani, Usichanganye bidhaaa deal na kundi 1 baada ya jingine, ukimaliza kundi A ingia kundi B then kundi C.

Tuendelee Kupambana...

#CONTROLA
Naungana na wewe, kunabiashara nilikuwa nafanya zamani nilikuwa sizingatii hili, ikawa bidhaa Bora na Kali nawapelekea makundi yote matatu bhana weee hilo kundi la chini hawatak ubora wao uhitaji kitonga cha bei kwao inamata bhasi nikiwatajia bei wanalia hatari saiv good nilishawasoma nawapelekea vya Kawahida mzigo nzuri na Bora kwa wateja premium nimeshamaliza. Ilo tatizo
 
Ukishajua siri hiyo hamna biashara itakufia mkononi Hakuna labda uamue tu binafsi kuachana na Biashara.
 
Kwenye biashara tuna waza mambo mengi sana hasa Mitaji,maeneo,wafanyakazi,bidhaa,nk

Lakini watu wengi sana huwa tunasahau jambo 1 kujua aina gani ya wateja unawahitaji katika biashara yako.

Ukiwa kama mfanyabiashara kuna FACTS lazima ukubaliane nazo utake au usitake ukubali au usikubali.

1. Huwezi Hudumia Wateja aina zote
2. Huwezi Mfurahisha kila Mteja

Hizo ni FACTS mbili muhimu zinatakiwa zikae kichwani mwako.

Wateja tumewagawa kulingana na Vipato vyao.

1. Mteja wa Kipato cha Juu
2. Mteja wa Kipato cha kati
3. Mteja wa kipato cha chini

Unapofungua biashara yako ili utusue ni lazima ujue hii biashara naenda ifungua kwa ajili ya kina nani?

Mfano :

Mtu anafungua biashara ya chakula/mgahawa ana weka viti vya cello, maturubai kwa nnje,sahani za bati zile za vyumba vyumba,nk

Yani vitendea kazi na mazingira tu tayari vinaonyesha anawalenga wateja wa kipato cha Chini.

Anapobugi anaweka BEI za vyakula anachouza za WATEJA WA KIPATO CHA JUU wakati mazingira ya walalahoi BEI Premium.. "lazima ufeli"

Mwingine anafungua Mgahawa anauweka kisasa sanaa kila kitu cha kisasa bei ndani anaweka za wateja wa kipato cha Chini.

Huyu nae hawezi toboa kwann? Gharama ya kuendesha ofisi yake ni kubwa kuliko bei anazowapa wateja, atafanikiwa mwanzoni lakini hatodumu kwenye biashara husika.

Sababu, anauza wali nyama 1500 kwa siku anatengeneza faida Mfano : 50k ni faida nzuri sio haba.

Kumbuka Ofisi yako ni CLASSIC ikiharibika AC gharama ya kuitengeneza inakula faida yako ya WIKI NZIMA.

ikiungua Friji Marekebisho faida ya siku 4,nk nk

Kuna mambo mengi ya kuzingatia tunapofungua biashara zetu lakini kikubwa chakukuweka MJINI wakati wote unatakiwa ufahamu biashara yako umeifungua kwa ajili ya wateja gani.

Kila kundi la wateja lina pesa na ni zuri ukijua namna gani uwawekee mazingira na uwape huduma kulingana na kundi lao.

Kama unaanza biashara ni mgeni na unataka tengeneza jina

Deal na wateja wa Kipato Cha Chini

Kama umeshakaa kwa biashara muda mrefu unataka ku upgrade Rukia Kundi la wateja Premium (wateja wa juu)

Kundi la wateja wa Kipato cha Kati hawa wanaingia popote Anaweza enda nunua simu M/city nyanya akaenda nunua Tandale sokoni hili kundi sio la kuwazingatia sanaaa maji kupwa maji kujaa wanaenda kadri wanavyojiskia.

Ukiweza Jua Mtaji wako ufungue biashara aina gani na wateja wako aina gani nakuhakikishia utatoboa.

Siri ya kutochoma mtaji ipo eneo hili la kujua aina ya wateja

Ukiamua kufanya biashara ya SIMU kwa wateja wa chini wawekee vinokia vya tochi,itel,vivo,nk jaza kabatiiii

Usije jichanganga ukaweka nokia tochi,vivo, halafu ukatupia kabatini na iphone 16 na iphone 15, nakuhakikishia Hizo iphone utauza nazo sura hadi utakuja ziuza kwa hasara, WHY?

Sio kwamba hamna wateja wa iphone ila sababu ni kwamba iphone hizo ni za wateja PREMIUM ila umeiweka bidhaa yao kwenye mazingira ya kitandale, hawawezi kuiamini bidhaa yako wala kukuamini muuzaji hata kama utakua unauza GENUINE IPHONE.

Hivyo hakikisha unaponunua bidhaa zako pia zingatia unawanunulia wateja gani, Usichanganye bidhaaa deal na kundi 1 baada ya jingine, ukimaliza kundi A ingia kundi B then kundi C.

Tuendelee Kupambana...

#CONTROLA
Ahsante Sana mkuu kwa madini, haya madini huwezi kupata kokote pale.
 
Back
Top Bottom