Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashahidi wa Uganda waliponzwa na hii kituJamii ya Hindu huko India tangia zamani za kale wamekuwa wakiishi na watu wanaojitambulisha kama wasio na jinsia, yaani sio wa kike wala sio wa kiume. Ndani ya jamii, watu hawa wamekuwa wakifanya shughuli mbalimbali za kijamii kama kutoa baraka kwa watoto, baraka kwa wenzi wa ndoa ili kuongeza uzazi, biashara ya kulala, kupitia shughuli hizi ndivyo walivokuwa wakijipatia kipato.
Jamii ya watu hawa huzaliwa kama wanaume ila wakishajitambua huukacha mwanaume na kuanza kuishi kama wanawake. Pia hawabaki nyumbani, huondoka na kwenda kuishi kwa kikundi kilicho karibu nawo.
View attachment 2958651
angalia aunti alivyopendeza tizama shingo yake ilivyo ndefu.
mkoloni anachafua hali ya hewa
Mnamo karne ya 19, mwingireza alitawala India kwa kuweka sheria zake. Mojawapo ya sheria ilikuwa ni kosa kwa mwanamme kumjua kingono mwanamme mwenzake. Watu wa India walikuwa wakiendelea na taratibu zao za Kuwalala kwa pesa hawa hijra na mkoloni alikuwa hajui kinachoendelea. kasheshe ikaanza baada ya kesi ya mauwaji kufunguliwa, kesi ilikuwa ikimuhusu hijra mmoja aliyeuawa na mwanaume aliyesemekana ni mpenzi wake wa zamani kutokana na wivu wa kimapenzi. Hapa ndipo mkoloni anashangaa ! Kumbe hizi njema zinabanduana, mkoloni kwa kutumia vyombo vyake akanza kamata kamata kubwa, na kupiga marufuku shughuli zote za hijra Ata zile za kubariki.
Jumla ya miaka 83 mkoloni aliyotawala ilitosha sana kuwapakaza taswira mbaya hawa viumbe maana hata baada ya mkoloni kuondoka hii jamii imekuwa haitendewi haki kama ilivyokuwa siku za kale. Wengi wanaishi kwa kuomba omba, kuuza baraka na biashara ya ngono, ambako mara nyingi wanazurumiwa na wateja korofi. Na kupata haki kumekuwa ni kitendawili.
Mara baada ya Mkoloni kuonja na kuonjwa, amekuwa akihaha usiku na mchana kupiga kampeni kuhamasisha watu wa mataifa waungane naye kwenye huo mchezo. Labda ni kwasababu ya ulimbukeni wakee tu au akikua ataacha au ni laana aliyoipata baada ya kutowatendea vyema hivyo ana jukumu la kusambaza.
Hata hivyo jamii ya namna kama hirja ilikuwepo sehemu mbalimbali katika tawala mbalimbali, mfano china walikuwepo, kwa waarabu walikuwepo na pia kwa herufi kubwa UGANDA walikuwepo kipindi yupo kabaka inasemekana alikuwmashaa akiwalala watu wa namna hiyo, tusubiri mda tu huyu Mganda ndiye atakuwa kampeni meneja wa Haya Mamboo mark my words.
Aje awachukue tu mtuondolee kelee. Na Kama hana nauli aseme tu mtumieKuna siri kubwa sana katika ulimwengu wa giza juu ya mamlaka, utajiri na hizi homosexuality acts.....
Dunia ina mengi mazito tusiyoyajua nyuma ya pazia.
Yesu yu karibu kuja kuchukua wateule wake.
Wachache sana wanaoujua huu ukweli.Wengi wamelevywa na mambo ya dunia,hawataki kusikia habari za mwisho wa dunia na kuja kwa YESU.Kuna siri kubwa sana katika ulimwengu wa giza juu ya mamlaka, utajiri na hizi homosexuality acts.....
Dunia ina mengi mazito tusiyoyajua nyuma ya pazia.
Yesu yu karibu kuja kuchukua wateule wake.
Khuntha ni neno la kiswahili lenye asili ya kiarabu (wanalitumia zaidi waislamu) likiwa na maana ya mtu aliyezaliwa na jinsi zote mbili yaani ana uke na ana uume pia!Nieleweshe khunntha bndo nini