FL1 asante sana kwa sredi nzuri ila nilikuwa ninaombi, pls naomba majina ya movie nzuri za ki-nigeria ambazo ukiziangalia hutaki kuacha ili na sisi wengine tukazitafute. Na kama kuna mtu anajua duka lenye hizo muvi ambazo quality yake ni nzuri pls msaada (mapicha mengi ya mtaani quality yake ni mbaya sana). NASUBIRI KWA UPOLE.