wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

Uche Jombo

Uuuuuche!

Uche%20Jombo%20250x373.jpg


thumb2.aspx
 
Scandarless woman, mama wa wengi...

Ngozi Ezeonu

Ana diploma ya uandishi wa habari

ngozi_ezeonu.jpg









ngozi_e2.JPG



ezeonu.jpg

 
OMOoooooooooooooooooooootola

Honestly, wasichana wa kitanzania wazuri kuliko Nigeria so msitishike na picha kama hizi

tukianza kuweka za watanzania hapa hapakaliki!

Omotola!
169987847.jpg
 
FL1 asante sana kwa sredi nzuri ila nilikuwa ninaombi, pls naomba majina ya movie nzuri za ki-nigeria ambazo ukiziangalia hutaki kuacha ili na sisi wengine tukazitafute. Na kama kuna mtu anajua duka lenye hizo muvi ambazo quality yake ni nzuri pls msaada (mapicha mengi ya mtaani quality yake ni mbaya sana). NASUBIRI KWA UPOLE.
 
wanatisha kwenye kazi zao. ama kweli waimudu fani ya uigizaji
 
Kutana tena na Liz Benson, First lady alishamweka acha niwaeleze kuwa kwa sasa mama ni mchungaji, kwa hiyo nadra sana kutokes kwenye films

Mama anapiga kazi ya uinjilist sasa hataki mchezo!

thumb.aspx


benson_liz1.jpg
benson_liz2.jpg
lizbenson.jpg
 
Anaitwa DAKORE EGUBSON!

Kwangu mimi nnaona is the best, mtundu katika film na maisha ya kawaida, anajulikana zaidi USA kuliko actors wengi sijajua sababu ni nini hasa!

Kacheza film 'men do cry' and 'high stake', 'i feel you'.....ambazo nimeziona
I simply love this girl, film inachangamka

132419_Dakore_1_jpg42b2e02a20cfdec53d4eecc9ce0ee03d


dakoreegbuson02.jpg


Dakore_Egbuson8.gif


dakoreegbuson02.jpg
 
Back
Top Bottom