Kichwa na kiwiliwili cha thread havina ushirikiano!Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika.
Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla.
Vikwazo vitakavyowekwa kwa watu hao ni,
- Kunyimwa visa mpya
- Kufutwa kwa visa ya zamani/ilivyopo
- Kuzuia baadhi ya safari za kiserikali, kidiplomasia au za kitalii
- Kuzuia matibabu ya baadhi ya viongozi, kuhudhuria mikutano ya UN n.k.
- Kuzuiwa kwa mali lkn hii ni baada ya kutibitika kama kulikuwa na fraud au money laundering au illegal weapons zilitumika.
Wafuatao ndio watakaoathirika na vikwazo hivyo.
- Viongozi wa serikali waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.
- Viongozi wa kisiasa.
- Viongozi wa vyombo vya usalama na wa kijeshi waliohusika.
- Maafisa wa uchaguzi.
- Watu binafsi waliojihusisha na ukiukaji wa haki za binadamu.
- Wanafamilia walio wa karibu na viongozi hao.
Zinazoonyesha nini huaminiLete sources mkuu zinazoonyesha hivyo
kwahiyo samuya sasa hivi safari zake ni za tanga dar dodoma...Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika.
Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla.
Vikwazo vitakavyowekwa kwa watu hao ni,
- Kunyimwa visa mpya
- Kufutwa kwa visa ya zamani/ilivyopo
- Kuzuia baadhi ya safari za kiserikali, kidiplomasia au za kitalii
- Kuzuia matibabu ya baadhi ya viongozi, kuhudhuria mikutano ya UN n.k.
- Kuzuiwa kwa mali lkn hii ni baada ya kutibitika kama kulikuwa na fraud au money laundering au illegal weapons zilitumika.
Wafuatao ndio watakaoathirika na vikwazo hivyo.
- Viongozi wa serikali waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.
- Viongozi wa kisiasa.
- Viongozi wa vyombo vya usalama na wa kijeshi waliohusika.
- Maafisa wa uchaguzi.
- Watu binafsi waliojihusisha na ukiukaji wa haki za binadamu.
- Wanafamilia walio wa karibu na viongozi hao.
Wampige block yule kombo anaepita kijikombakombaZinazoonyesha nini huamini
Zinazotaja waathirika.Zinazoonyesha nini huamini
Inasemekana Nyalandu ndiye mwenyeji wa Kombo aliyetangulizwa.Wampige block yule kombo anaepita kijikombakomba
Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika.
Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla.
Vikwazo vitakavyowekwa kwa watu hao ni,
- Kunyimwa visa mpya
- Kufutwa kwa visa ya zamani/ilivyopo
- Kuzuia baadhi ya safari za kiserikali, kidiplomasia au za kitalii
- Kuzuia matibabu ya baadhi ya viongozi, kuhudhuria mikutano ya UN n.k.
- Kuzuiwa kwa mali lkn hii ni baada ya kutibitika kama kulikuwa na fraud au money laundering au illegal weapons zilitumika.
Wafuatao ndio watakaoathirika na vikwazo hivyo.
- Viongozi wa serikali waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.
- Viongozi wa kisiasa.
- Viongozi wa vyombo vya usalama na wa kijeshi waliohusika.
- Maafisa wa uchaguzi.
- Watu binafsi waliojihusisha na ukiukaji wa haki za binadamu.
- Wanafamilia walio wa karibu na viongozi hao.
Wewe huwajui viongozi wa serikali waliohusika au unataka majina yao.Zinazotaja waathirika.
Kombo linajikombakombaInasemekana Nyalandu ndiye mwenyeji wa Kombo aliyetangulizwa.
Kombo ameishia kupiga picha kwenye korido za wazungu najua atarudi nyumbani kwa aibu.Wampige block yule kombo anaepita kijikombakomba
Nchi imekuwa ya kifamilia hii Zungu naye katoa amri mtoto wa Jenista awe mbunge.SAMIA,MUMEWE,WANU,ABDUL & MCHENGERWA
Hawa Wawe wa Kwanza kwenye Hivyo vikwazo!
Mikono na miguu sijaiona pia.Kichwa na kiwiliwili cha thread havina ushirikiano!
Nenda google kila kitu kiko wazi!Lete sources mkuu zinazoonyesha hivyo
Utaviona tu uwe na subira.Kichwa na kiwiliwili cha thread havina ushirikiano!
Ulitegemea kuona jina la nani nikuonyeshe.Mikono na miguu sijaiona pia.