Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika.
Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla.
Vikwazo vitakavyowekwa kwa watu hao ni,
- Kunyimwa visa mpya
- Kufutwa kwa visa ya zamani/ilivyopo
- Kuzuia baadhi ya safari za kiserikali, kidiplomasia au za kitalii
- Kuzuia matibabu ya baadhi ya viongozi, kuhudhuria mikutano ya UN n.k.
- Kuzuiwa kwa mali lkn hii ni baada ya kutibitika kama kulikuwa na fraud au money laundering au illegal weapons zilitumika.
Wafuatao ndio watakaoathirika na vikwazo hivyo.
- Viongozi wa serikali waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.
- Viongozi wa kisiasa.
- Viongozi wa vyombo vya usalama na wa kijeshi waliohusika.
- Maafisa wa uchaguzi.
- Watu binafsi waliojihusisha na ukiukaji wa haki za binadamu.
- Wanafamilia walio wa karibu na viongozi hao.