Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

MUWHWELA

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
167
Reaction score
238
Twime TUBITE

"Hakuna mfano nyuma ya mfano,nyuma ya mfano Kuna Imani"

MAPACHA 3 wa Siri wanavyoifanya Dunia watakavyo, MAPACHA wenyewe kwa nje wanaonekana kama maadui na jamii kubwa inaelewa hivyo Lakini kwa Siri sana wanashirikiana kugawana makundi ya watu.

DINI,(religion) SERIKALI (government)UCHUMI (economy) ukiruhusu akili Yako ifanye kazi vizuri utagundua hakuna jambo linalopita nje ya hii mifumo, hii mifumo ni watu siyo fasihi.

Nitaweka kwa ufupi Kila sifa ya MTU kati ya Hawa watatu wanatawala mawazo Yako vipi na kwa jinsi Gani unaweza kufikiri tofauti na ukafikia malengo Yako Ukiwa na amani ya moyo wako kwa MAJIRA Yako yaliyosalia Ukiwa na Mwili huu uharibikao.

DINI: Dini kazi yake ni kukupa hofu na kukuzalishia wasiwasi juu ya kesho na jinsi ya uwepo wako na viumbe wengine as if yeye ana majawabu ya maswali Yako yote which is not true.

DINI hataki uwe na maswali yenye ushahidi,Dini anataka uamini kwa uaminifu mambo yanayotakiwa akili tu itoe majawabu yake. Kwakuwa amezalisha hofu hiyo kwa miaka mingi na kwa kundi kubwa la watu basi ni ngumu sana MTU kugundua kwamba yeye kama mshirika/member anatumika kustawisha maisha na mifumo hiyo pasipo faida iwayo.

#Ukitaka kufikiri tofauti, heshimu Imani ya Kila MTU,heshimu utu wake Kisha jipe muda wa kujua misingi ya Dini zote kubwa, utakuja kugundua kwamba wote wanacheza na chanzo KIMOJA Cha taarifa ila wamejitahidi kubadilisha UHUSIKA WA watu na majina Yao, Lakini content na context ni vile vile.

Mimi Naamini Mungu Lakini siyo Mungu mwenye masharti ya kwenye vitabu vya Dini, naamini Mungu kwa misingi ya sheria za Asili, Mungu ambaye hajawa branded na wenzetu weupe ambao kiasili ni watoto wetu. IPE AKILI KAZI

SERIKALI (Government) serikali kama MTU kazi yake ni moja tu kubwa, kuhakikisha anazalisha watu na kuhakikisha anawapa fasihi anayotaka na kuwalinda kwa sheria Ili kutimiza matakwa ya fasihi yake.

Serikali lazima izalishe wajinga wengi na kuwalinda kwa sheria, Hawa WATU wakilindwa basi ndiyo nguvu kazi yake na ndiyo chanzo Cha mapato yake ya uhakika.

Falsafa inasema "yoyote anayemiliki fasihi ndiye anayeshikilia jinsi ya kufikiri kwako"and that's how things work under the carpet.

#Heshimu sheria za nchi,heshimu Viongozi,kama una hoja basi ijenge kwa staha na HESHIMA pia HESHIMA utu wa MTU..fikiri tofauti tenda tofauti then utakuwa MTU huru

UCHUMI🙁economy) Huyu naye ni MTU yeye kazi yake ni moja tu kuendesha maisha Yako ya Kila siku kwa namna anavyotaka yeye.

Yeye ndiye anayeshikilia ule nini, uvae nini, ulale wapi, ukatibiwe wapi, ufe au uendelee kuishi, usikilize nini, utazame nini, usome wapi. kwa ufupi huyu ndiye ameshikilia 90% ya nguvu zako zote zinazotumika Ukiwa na UHAI wa Mwili hapa duniani.

Kwakuwa pande zote Tatu zinapigwa spana za maana,kama hutaona mambo kwa jicho la Tatu siku zote utapishana na ukweli na utaendelea kukaa seblen chumbani hutakuja kuingia wewe na vizazi vyako vyote.

#Nini ufanye...Miliki Ardhi, ANZISHA mifumo Yako ya ulaji, Elimu siyo ya darasani tu, fikiri tofauti Kisha thubutu...usiruhusu Kila kinachoonekana kiamue maisha Yako bila tafakari ya kina...LAKINI USIVUKE MIPAKA, UTAISHI

Hawa jamaa ni watu wenye uwezo wote ndiyo maana ni only 2% ya watu wote duniani ndiyo wanaofanya maamuzi ya watu bil 8 Duniani.

Leo ni 2024 Usiogope kusikia taarifa na matukio halisi ya tangu mwaka 1-2024, Lakini pia kabla ya calendar hii ya warumi kulikuwa na maisha mengine pia huko nyuma ya WAZEE wetu. Jipe muda wa kutafiti kabla ya kuamua kulikita ulipo as if hapo ndipo mwisho wa taarifa.

IPE KAZI AKILI
2024 June
 
Lakini jamii kubwa ya binadamu haiamin chochote. Huu mfano wako kuhusu, umelenga eneo unaloish sio dunian. Na pia kuna secret service nyingi sana zinaiendesha hii dunia nje ya mfumo wa serikali.
 
Ndugu kitali: Mifumo siku zote siyo static inahitaji muda na kundi la watu wenye mtazamo tofauti Ili kuubadili.....mfano rahisi ni SIASA za ujamaa na upebari .(Hakuna jamii isiyoamini lolote) Kafanye research upya ndugu
 
Ipo sana katika kusafir kwangu nakutana nao sana. Hata wachina wengi hawaamin chochote zaid ya hela na tumbo lao.
 
Hili jambo la watu kufunguka ilikuwa ni lazima litokee uwongo kamwe haujawahi kudumu , mwisho wa siku ni lazima watu waifahamu kweli nayo kweli iwaweke huru.
Na hii ndiyo KWELI,

Ni kuamini kuwa, Mungu alikuja katika mwili wa mwanadamu, akazaliwa, akafa na akazikwa Kisha akafufuka siku ya tatu.

Ubarikiwe 🙏
 
ANZISHA MIFUMO YAKO. kwame huta teseka na mifumo ya watu
 
Dini ni mfumo wa maisha alioamua mtu kuufuata.
Hofu si sehemu ya dini.
Dini ukufunza kuishinda hofu
 
Mazungumzo yoyote yanakuwa based na kuishi. Maana kwenyewe kupo ndani ya uwezo wetu as humans...birth and death ni matokeo ya hatuna control nayo
Siku hizi watu wanacontrol na hiko kimoja unachokiona ni out of control, DEATH. Wanaamua kujiua na aina gani ya kifo anaamua kujichagulia. Hata kama utasema kifo cha aina hyo sio natural lakini pia kuna mtaalamu mmoja wa takwimu aliwahi kujitabiria atakufa siku gani kutokana na mwenendo wa saa yake ya mwili katika kuamka.
 
Back
Top Bottom