Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

Kwamba!

Mapacha watatu ni nyenzo inayotumika kutawala wenye akili finyu SI ndo

Na hii ndiyo KWELI,

Ni kuamini kuwa, Mungu alikuja katika mwili wa mwanadamu, akazaliwa, akafa na akazikwa Kisha akafufuka siku ya tatu.

Ubarikiwe 🙏
Misimamo ni mizuri Lakini siyo mizuri kabisa kwa Dunia ya taarifa tuliyonayo.."kwa Karne ya Leo MTU mjinga siyo yule asiyejua KUSOMA na kuandika ni yule asiyetaka kuachilia aliyoambiwa na kujifunza mapya" maana hayo mapya yapo.

Imani ni nzuri tu Lakini MTU ukijitahidi kuwa na reasoning power kubwa you can ask why this?
 
Wachina wanaamini miungu Yao, usidanganyike. Ilipo pesa ya mchina, nyuma Pana miungu. Wahindi na mataifa yote.
Mi nafanyabiashara na wachina huu ni mwaka wa 30 ndan ya china. Nakuambia wengi hawaaamini chochote. Hata wazungu wa leo hawaaamini chochote Chief zaid ya sayans
 
Mi nafanyabiashara na wachina huu ni mwaka wa 30 ndan ya china. Nakuambia wengi hawaaamini chochote. Hata wazungu wa leo hawaaamini chochote Chief zaid ya sayans
China hawaamini chochote?

Kuna waabudu miungu kama wachina?

Yale masanamu,dragon, nk nk Unadhani ni maigizo?

Kila kiumbe kinaabudu, tofauti hapo ni wanamwabudu Mungu au miungu!!

Hata asiyeabudu chochote, automatically anamwabudu Ibilisi na shetani.
 
Bro nakuambia sio wote wengi hawaamin chochote mzee. Ni kama uzungun wengi kwasasa hawaaamini chochote zaid ya sayansi.
 
Twime TUBITE

"Hakuna mfano nyuma ya mfano,nyuma ya mfano Kuna Imani"

MAPACHA 3 wa Siri wanavyoifanya Dunia watakavyo, MAPACHA wenyewe kwa nje wanaonekana kama maadui na jamii kubwa inaelewa hivyo Lakini kwa Siri sana wanashirikiana kugawana makundi ya watu.

DINI,(religion) SERIKALI (government)UCHUMI (economy) ukiruhusu akili Yako ifanye kazi vizuri utagundua hakuna jambo linalopita nje ya hii mifumo, hii mifumo ni watu siyo fasihi.

Nitaweka kwa ufupi Kila sifa ya MTU kati ya Hawa watatu wanatawala mawazo Yako vipi na kwa jinsi Gani unaweza kufikiri tofauti na ukafikia malengo Yako Ukiwa na amani ya moyo wako kwa MAJIRA Yako yaliyosalia Ukiwa na Mwili huu uharibikao.

DINI: Dini kazi yake ni kukupa hofu na kukuzalishia wasiwasi juu ya kesho na jinsi ya uwepo wako na viumbe wengine as if yeye ana majawabu ya maswali Yako yote which is not true.

DINI hataki uwe na maswali yenye ushahidi,Dini anataka uamini kwa uaminifu mambo yanayotakiwa akili tu itoe majawabu yake. Kwakuwa amezalisha hofu hiyo kwa miaka mingi na kwa kundi kubwa la watu basi ni ngumu sana MTU kugundua kwamba yeye kama mshirika/member anatumika kustawisha maisha na mifumo hiyo pasipo faida iwayo.

#Ukitaka kufikiri tofauti, heshimu Imani ya Kila MTU,heshimu utu wake Kisha jipe muda wa kujua misingi ya Dini zote kubwa, utakuja kugundua kwamba wote wanacheza na chanzo KIMOJA Cha taarifa ila wamejitahidi kubadilisha UHUSIKA WA watu na majina Yao, Lakini content na context ni vile vile.

Mimi Naamini Mungu Lakini siyo Mungu mwenye masharti ya kwenye vitabu vya Dini, naamini Mungu kwa misingi ya sheria za Asili, Mungu ambaye hajawa branded na wenzetu weupe ambao kiasili ni watoto wetu. IPE AKILI KAZI

SERIKALI (Government) serikali kama MTU kazi yake ni moja tu kubwa, kuhakikisha anazalisha watu na kuhakikisha anawapa fasihi anayotaka na kuwalinda kwa sheria Ili kutimiza matakwa ya fasihi yake.

Serikali lazima izalishe wajinga wengi na kuwalinda kwa sheria, Hawa WATU wakilindwa basi ndiyo nguvu kazi yake na ndiyo chanzo Cha mapato yake ya uhakika.

Falsafa inasema "yoyote anayemiliki fasihi ndiye anayeshikilia jinsi ya kufikiri kwako"and that's how things work under the carpet.

#Heshimu sheria za nchi,heshimu Viongozi,kama una hoja basi ijenge kwa staha na HESHIMA pia HESHIMA utu wa MTU..fikiri tofauti tenda tofauti then utakuwa MTU huru

UCHUMI🙁economy) Huyu naye ni MTU yeye kazi yake ni moja tu kuendesha maisha Yako ya Kila siku kwa namna anavyotaka yeye.

Yeye ndiye anayeshikilia ule nini, uvae nini, ulale wapi, ukatibiwe wapi, ufe au uendelee kuishi, usikilize nini, utazame nini, usome wapi. kwa ufupi huyu ndiye ameshikilia 90% ya nguvu zako zote zinazotumika Ukiwa na UHAI wa Mwili hapa duniani.

Kwakuwa pande zote Tatu zinapigwa spana za maana,kama hutaona mambo kwa jicho la Tatu siku zote utapishana na ukweli na utaendelea kukaa seblen chumbani hutakuja kuingia wewe na vizazi vyako vyote.

#Nini ufanye...Miliki Ardhi, ANZISHA mifumo Yako ya ulaji, Elimu siyo ya darasani tu, fikiri tofauti Kisha thubutu...usiruhusu Kila kinachoonekana kiamue maisha Yako bila tafakari ya kina...LAKINI USIVUKE MIPAKA, UTAISHI

Hawa jamaa ni watu wenye uwezo wote ndiyo maana ni only 2% ya watu wote duniani ndiyo wanaofanya maamuzi ya watu bil 8 Duniani.

Leo ni 2024 Usiogope kusikia taarifa na matukio halisi ya tangu mwaka 1-2024, Lakini pia kabla ya calendar hii ya warumi kulikuwa na maisha mengine pia huko nyuma ya WAZEE wetu. Jipe muda wa kutafiti kabla ya kuamua kulikita ulipo as if hapo ndipo mwisho wa taarifa.

IPE KAZI AKILI
2024 June
Hapo kitu ambacho sio cha lazima ni DINI...... kuna watu wengi sana tunaishi bila kuamini dini yoyote na hakuna effect yoyote kimaisha

Serikali ni LAZIMA iwepo
Kwa asili social animal wote wana “serikali”...... serikali ni sheria na taratibu zinazoongoza muishi kwa utaratibu maalum
Hebe fikiria kungekua hakuna sheria

Uchumi ni lazima pia
Uchumi ni shughuli unazofanya upate msosi na mahitaji mengine ili uishi(kazi)...... hakuna namna unaweza ku survive bila kufanya kazi

Uchumi(kazi) na Serikali ni vitu natural na haviepukiki, ni wajanja wachache ndio wanakua na control ya mambo haya

Dini kwa kadiri miaka inavyokwenda hizi ngano za kale zitapotea
 
Bro nakuambia sio wote wengi hawaamin chochote mzee. Ni kama uzungun wengi kwasasa hawaaamini chochote zaid ya sayansi.
Unawezaje kulewa pombe, ukanunua Malaya, Ukatoka mimba, unatumia madawa ya KULEVYA, ukachora tattoos Kisha useme huamini chochote?

Wazungu unaowaongelea, wako katika kifungo hicho, wamejitia ndani ya kifungo nilichotaja hapo juu.

Sasa MFUNGWA asiye na uhuru kuwa huru, ni sawa kusema haamini chochote Kwa upande wako, lakini katika reality Yuko chini ya mkuu wa gereza ambaye ni shetani.
 
Naona naongea na mtu asiyeijua dunia. Nakuambia kuna watu sio wlevi wala wenye tatoo wala wala unga lakin hawaamin chochote zaid ya sayansi. Kwa mfano Elon musk pamoja na utajir wake haamin chochote zaid ya sayansi inayompa majib anayotaka
 
Wewe ndiye huijui Dunia,

Unayemuongelea ni Pepo katika human form!!
 
Wewe ndiye huijui Dunia,

Unayemuongelea ni Pepo katika human form!!
We kiaz kweli nimekuletea prove ya watu wasioamin chochote unawaita mapepo so ushaamin wapo sio. So hoja yako imehamia kwenye ushetan au. Tembea dunian ukaione dunia katika picha tofauti wewe acha kukariri maisha
 
Tatizo lako, u kipofu unayeamini kuwa unaona.

Ok, yatosha Kwa sasa!!
 
Unawezaje kulewa pombe, ukanunua Malaya, Ukatoka mimba, unatumia madawa ya KULEVYA, ukachora tattoos Kisha useme huamini chochote?

Wazungu unaowaongelea, wako katika kifungo hicho, wamejitia ndani ya kifungo nilichotaja hapo juu.

Sasa MFUNGWA asiye na uhuru kuwa huru, ni sawa kusema haamini chochote Kwa upande wako, lakini katika reality Yuko chini ya mkuu wa gereza ambaye ni shetani.
Mkuu labda ufafanue maana ya IMANI kwa muktadha wa hoja hii

Imani inayomaanishwa hapa ni IMANI ya dini, kwamba unaamini kuna Supernatural power(Mungu) iliyoumba Ulimwengu huu na inamamlaka yote

Sasa Kuvuta bangi au pombe au kuchora tatoo au kununua K kunahusiana vipi na IMANI ya dini?
Sio kila kifungu ni IMANI
 
Back
Top Bottom