Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

Asante kabisa Ndugu!!!! Tukisema kwa staha tunaweza kuiteka Dunia Lakini tukiweka HISIA mbele tunachemka..

African we're too much emotional
Hata mimi huwa naamini kuna wajanja wachache tu wameseti mifumo ya hii dunia alafu wanaipeleka watakavyo wao.
Kikundi tu kidogo cha wajanja yani.
 
Hata mimi huwa naamini kuna wajanja wachache tu wameseti mifumo ya hii dunia alafu wanaipeleka watakavyo wao.
Kikundi tu kidogo cha wajanja yani.
Kama hutaingia wewe chumbani basi hakikisha mwanao anaingia chumbani, huruma duniani hakuna...ijue mifumo,Ishi Nayo,tengeneza Yako....KISHA UTAITWA KWENYE MEZA YA BWANA
 
Mi nafanyabiashara na wachina huu ni mwaka wa 30 ndan ya china. Nakuambia wengi hawaaamini chochote. Hata wazungu wa leo hawaaamini chochote Chief zaid ya sayans
Wachina Wana miungu mkuu.
 
Back
Top Bottom