Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

Kwamba!

Mapacha watatu ni nyenzo inayotumika kutawala wenye akili finyu SI ndo

Na hii ndiyo KWELI,

Ni kuamini kuwa, Mungu alikuja katika mwili wa mwanadamu, akazaliwa, akafa na akazikwa Kisha akafufuka siku ya tatu.

Ubarikiwe 🙏
Misimamo ni mizuri Lakini siyo mizuri kabisa kwa Dunia ya taarifa tuliyonayo.."kwa Karne ya Leo MTU mjinga siyo yule asiyejua KUSOMA na kuandika ni yule asiyetaka kuachilia aliyoambiwa na kujifunza mapya" maana hayo mapya yapo.

Imani ni nzuri tu Lakini MTU ukijitahidi kuwa na reasoning power kubwa you can ask why this?
 
Wachina wanaamini miungu Yao, usidanganyike. Ilipo pesa ya mchina, nyuma Pana miungu. Wahindi na mataifa yote.
Mi nafanyabiashara na wachina huu ni mwaka wa 30 ndan ya china. Nakuambia wengi hawaaamini chochote. Hata wazungu wa leo hawaaamini chochote Chief zaid ya sayans
 
Mi nafanyabiashara na wachina huu ni mwaka wa 30 ndan ya china. Nakuambia wengi hawaaamini chochote. Hata wazungu wa leo hawaaamini chochote Chief zaid ya sayans
China hawaamini chochote?

Kuna waabudu miungu kama wachina?

Yale masanamu,dragon, nk nk Unadhani ni maigizo?

Kila kiumbe kinaabudu, tofauti hapo ni wanamwabudu Mungu au miungu!!

Hata asiyeabudu chochote, automatically anamwabudu Ibilisi na shetani.
 
Bro nakuambia sio wote wengi hawaamin chochote mzee. Ni kama uzungun wengi kwasasa hawaaamini chochote zaid ya sayansi.
 
Hapo kitu ambacho sio cha lazima ni DINI...... kuna watu wengi sana tunaishi bila kuamini dini yoyote na hakuna effect yoyote kimaisha

Serikali ni LAZIMA iwepo
Kwa asili social animal wote wana “serikali”...... serikali ni sheria na taratibu zinazoongoza muishi kwa utaratibu maalum
Hebe fikiria kungekua hakuna sheria

Uchumi ni lazima pia
Uchumi ni shughuli unazofanya upate msosi na mahitaji mengine ili uishi(kazi)...... hakuna namna unaweza ku survive bila kufanya kazi

Uchumi(kazi) na Serikali ni vitu natural na haviepukiki, ni wajanja wachache ndio wanakua na control ya mambo haya

Dini kwa kadiri miaka inavyokwenda hizi ngano za kale zitapotea
 
Bro nakuambia sio wote wengi hawaamin chochote mzee. Ni kama uzungun wengi kwasasa hawaaamini chochote zaid ya sayansi.
Unawezaje kulewa pombe, ukanunua Malaya, Ukatoka mimba, unatumia madawa ya KULEVYA, ukachora tattoos Kisha useme huamini chochote?

Wazungu unaowaongelea, wako katika kifungo hicho, wamejitia ndani ya kifungo nilichotaja hapo juu.

Sasa MFUNGWA asiye na uhuru kuwa huru, ni sawa kusema haamini chochote Kwa upande wako, lakini katika reality Yuko chini ya mkuu wa gereza ambaye ni shetani.
 
Naona naongea na mtu asiyeijua dunia. Nakuambia kuna watu sio wlevi wala wenye tatoo wala wala unga lakin hawaamin chochote zaid ya sayansi. Kwa mfano Elon musk pamoja na utajir wake haamin chochote zaid ya sayansi inayompa majib anayotaka
 
Wewe ndiye huijui Dunia,

Unayemuongelea ni Pepo katika human form!!
 
Wewe ndiye huijui Dunia,

Unayemuongelea ni Pepo katika human form!!
We kiaz kweli nimekuletea prove ya watu wasioamin chochote unawaita mapepo so ushaamin wapo sio. So hoja yako imehamia kwenye ushetan au. Tembea dunian ukaione dunia katika picha tofauti wewe acha kukariri maisha
 
Tatizo lako, u kipofu unayeamini kuwa unaona.

Ok, yatosha Kwa sasa!!
 
Mkuu labda ufafanue maana ya IMANI kwa muktadha wa hoja hii

Imani inayomaanishwa hapa ni IMANI ya dini, kwamba unaamini kuna Supernatural power(Mungu) iliyoumba Ulimwengu huu na inamamlaka yote

Sasa Kuvuta bangi au pombe au kuchora tatoo au kununua K kunahusiana vipi na IMANI ya dini?
Sio kila kifungu ni IMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…