Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

Hao watu wapo wengi, hata kwenye ukoo wako, Jirani, au kazini huwezi mkosa.

Nitaleta sifa za watu hao na jinsi ya kuwatambua.

Ni kwenye Uzi huu huu, endelea kuwepo.
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ndio, na nimeweka source kabisa hapo chini.

Binafsi najua UKWELI kuhusu watu hao, ningeleta Mimi kama Mimi, source ningejiweka mm mwenyewe,

Ingekuwa habar ingine.
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Uliyo yaandika hapa yapo chapter ipi kwenye biblia?..
 
Nimesoma Biblia nzima, Mwanzo hadi Ufunuo lakini sijawahi kuona mahali Biblia imejipinga. Lakini ukiisoma kama Gazeti ni rahisi kutokuielewa.

Biblia si Gazeti wala kitabu cha kawaida. Kina Neno la Mungu lililo Hai.
 
Sawa mkuu
 
Mungu atakusaidia kuacha Polepole.

Bendi ya muziki wa Rock iitwayo Imaginary dragons ni mapepo wote wale katika form ya WANADAMU.

Kwa msaada wa Mungu utaacha.

Sikiza nyimbo zenye ujumbe wa Mungu, za INJILI, ingawa Si zote.

Ubarikiwe.
Aisee nimeenda kuchek baadhi ya videos za hao jamaa, they are pure devils in human form asee, af videos zao zina bilions of views huko youtube
 
Uliyo yaandika hapa yapo chapter ipi kwenye biblia?..
Rudia kusoma utaona ikiwa umefichwa usiione mistari ya BIBLIA iliyo wazi kabisa.

Ongezea na (Ezekiel 28:1-19) na (Luke 3:7)
 
Aisee nimeenda kuchek baadhi ya videos za hao jamaa, they are pure devils in human form asee, af videos zao zina bilions of views huko youtube
Hupasi kuangalia.
Amini tu kilichoandikwa ni Kweli.
 
Yaani ukishakuwa mtu wa sheria sheria ni unapata tabu sana
Mara usisikilize hiki, mara usile kile, mara usiende huko, kuwa huru mkuu katika Kristo ili mradi usiwakwaze wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…