Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

Yani ni kwamba gospel, lingala, hiphop, sweet reggae zote naskiliza na sina mpango wa kuacha anytime soon.
Mungu atakusaidia kuacha Polepole.

Bendi ya muziki wa Rock iitwayo Imaginary dragons ni mapepo wote wale katika form ya WANADAMU.

Kwa msaada wa Mungu utaacha.

Sikiza nyimbo zenye ujumbe wa Mungu, za INJILI, ingawa Si zote.

Ubarikiwe.
 
Mungu atakusaidia kuacha Polepole.

Bendi ya muziki wa Rock iitwayo Imaginary dragons ni mapepo wote wale katika form ya WANADAMU.

Kwa msaada wa Dunia utaacha.

Sikiza nyimbo zenye ujumbe wa Mungu, za INJILI, ingawa Si zote.

Ubarikiwe.
Rock and Roll sijawahi kabisa kuzipenda hizo kelele zake
 
(Luke 23:3)

Enyi nyoka, Wana wa majoka, mtaikimbiaje HUKUMU ya Jehanum?

(Luke 3:7)
Basi..........
Enyi wazao wa Nyoka, ni nanialiyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?

(Mathew 12:34)

Enyi wazao wa Nyoka, mnawezaje kunena mema mkiwa wabaya?
wazao wa nyoka ni mapepo??
 
Ni ushenzi wa hali ya juu kutumia maandishi ya biblia na sentiments za kidini kuwapa wanadamu wenzako majina ya uovu wa kufikirika namna hii

Hii ni kujenga chuki na divisions among your fellow human beings

Dini hasa Christians are the worst human beings

What a loss!
 
Watu wanaopenda dini na kua fanatics wa dini namna hii hua ni VICHAA

Eti wewe unaamka asubuhi unajitia eti una uwezo wa kuona wenzio eti ni mapepo eti uwezi huo mungu alikupa jana usiku

Kama sio ukichaa ni nini?

How can u use religion to hate nad judge your fellow human beings?

Why?

Fvck Christians!
 
Hicho ndicho kilichomleta Yesu duniani,


(Matthew 10:34-39)

Anasema, Sikuja kuleta Amani duniani, Bali Upanga, kumfitinisha mtu na Mkwe mtu, baba na mwana, mama na bintiye.

Ukijua kuwa mjomba wako ni mchawi, au Jirani Yako ni Pepo katika form ya mwanadamu Kuna undugu au ujirani hapo?

Na vita hiyo Si ya mwilini kushikiana napanga,HAPANA, ni ya Roho katika Ulimwengu wa Roho.
 
Si Rahisi kumtambua,

Watumishi wengi wa Dini, hawana macho ya Rohoni kutambua, hivyo wanawafungisha NDOA.

Tuko katika nyakati za kutisha.
Haya "macho ya rohoni" ndio chanzo cha matatizo yote

How do we believe "macho yako ya rohoni" ndio sahihi?

Wewe kwenye ndoto zako ukaona mama yako ay jirani yako ndio huyo pepo,huoni ni vita na chuki tu ndio zinafuata?

How do we actually believe this "macho ya rohoni" nonsense?

Hii ndio mwanzo wa maneno ya chuki na kuua na kubanika watu live sababu "mungu kakuonesha rohoni"!

Dini is the source of all evils
 
Yesu ni wewe kwani?

Huyo Yesu hayupo hapa,alishakufa hayupo duniani

Wewe upo hapa duniani na wanadamu wenzio cha ajabu unawaita "mapepo",like really?

Kwanini unawaita wanadamu wenzion mapepo?

Hebu punguzeni unazi wa dini maana ndio chanzo cha kuua na kuwapa wanadamu wengine shida hapa duniani kwa kuwasingizia

Maana how do we believe ndoto zako unazoota wewe?

Nonsense
 
Mbona umepanic?

Yesu yupo, alikufa na kufufuka, ndiye aliyeleta ujumbe huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…