Malegend wa mchezo wa ngumi duniani kama Tyson na wenzake wanaamini katika kushambulia zaidi na sio kulinda zaidi(kupaki basi)..Wanaona Floyd yupo kama "Jose Mourinho" yaani anachojali yeye ni ushindi na sio kufurahisha audience kwa kumshambulia adui ila kutumia ujanjaujanja na uwezo kupata matokeo.
huku upande wa pili kuna Pacman, Bondia anayekubalika kwa uwezo wake wa kushambulia zaidi ... ndondi zingekuwa mpira Basi Angekuwa Barcelona
Binafsi mi ni
#Teamfloydmoney namtakia ushindi wa KO... Huyo Pacman akaigize na kina Jericho Rosales