Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

hahaaaaaaa
yani mie mpaka sasa finally najua bayern na realyy
barca wasahau tu

Usijiaminishe sana, huu mpira huwa unaliza watu. Mi bado natoa 50-50. We toa 100, ck ya mechi ukose ucngz bureeeee....
 
Malegend wa mchezo wa ngumi duniani kama Tyson na wenzake wanaamini katika kushambulia zaidi na sio kulinda zaidi(kupaki basi)..Wanaona Floyd yupo kama "Jose Mourinho" yaani anachojali yeye ni ushindi na sio kufurahisha audience kwa kumshambulia adui ila kutumia ujanjaujanja na uwezo kupata matokeo.

huku upande wa pili kuna Pacman, Bondia anayekubalika kwa uwezo wake wa kushambulia zaidi ... ndondi zingekuwa mpira Basi Angekuwa Barcelona

Binafsi mi ni #Teamfloydmoney namtakia ushindi wa KO... Huyo Pacman akaigize na kina Jericho Rosales
 
hahaaaaaaaaa
 
Usijiaminishe sana, huu mpira huwa unaliza watu. Mi bado natoa 50-50. We toa 100, ck ya mechi ukose ucngz bureeeee....

nshabet na dogo kilo kwa kilo .dadadekiiii
barca hamtoki tunawapiga nje ndani
 
1429989404907.jpg1429989438848.jpg
 
PAC ameomba wapime drugs kabla ya mpambano. Kwani kujiingiza kwa gangstars kunatia shaka kwani hawataki kupoteza bet zao
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
Tutamkumbusha mod akupige hiyo ban mtakapokalishwa may 2. Ndo utajua utamu wa orthodox style kwenye boxing
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.

sawa.....
 
Mi nadhani hao wanataka kumpoteza pacman wanaside nae kimuonekano ila ndani wako na mmarekani mwenzao tena mweusi ambae kila siku wako pamoja#au wanataka kunogesha mchezo na kuchota mbinu za Floyd
 
Back
Top Bottom