Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Hivi mdogo wetu MATUMLA atapigana kweli kwenye pambano la utangulizi au aliingizwa mjini?
 
Wanna see a couple of rich guys demonstrate their richness in ridiculous fashion?

Well, Diddy and Mark Wahlberg have made a $250,000 bet on the Mayweather vs. Pacquiao fight ... like it ain't no thing.

Diddy's got Floyd. Mark's got PacMan.

Daaahh karibia Milion 450 hapo wanaume wame-bet...

Mkuu Snipa upo hapo

Hiyo ni pesa ndogo sana kwa Diddy
 
nilikua upande wa mayweather kabla ili pambano alijawa official lakini mechi ya mwisho aliocheza mayweather nliona awez kazi tena.na lazima apigwe ndonga na mphilipino
 
Kitu Mphilipines Pacman ukweli jamaa kwenye masumbwi na moyo wa utu yumo...........ukitaka kujua huyu jamaa ni noma angalia walio mzunguka kuspport kuwa atashinda.
1: Mohamed Ally king wa box kitabia ana huruma sana kwa watu hasa maskini
2: Tyson -alikuwa mkorofi sana lakini kitabia alikuwa na moyo wa huruma sana kwa watu.

Kwa tabia za magwiji hayo ndio tabia za Pacman.May anajipenda sana kuliko pitiliza ambako kunamfanya awe mbinafsi na mchoyo sana.Kudhihirisha ubinafsi wake, tizama kisa kilicho mgombanisha na Baba yake mzazi kiasi cha kumtimua kwenye Timu yake. Sasa linapokuja swala za boxing zenye hadhi ya JUU kidunia kama hizi basi huwa linaingia kwenye mioyo ya watu na kugeuka kuwa IMANI.Sasa uwezi kwenda kubet kwa mtu ambae kwa imani yako ya uthabiti wa NAFSI haikutumi ushindi kutokana na HAIBA YA IMANI yako dhidi ya unae mkusudia.Tutegemee pambano la kihistoria juu ya ma lifestyle People na watu wenye mioyo ya utu a kujitoa sababu ya watu.

PACMAN atampa mtu za chemba lazima ataakaa .............
 
Mayweather kama ni timu inayozuia tuu. Haichezi inasubiri counter attack.
Pacquiai ni timu inayoshambulia kwa kasi na kumiliki mpira.
Ubaya ni kuwa ktk boxing kuna ushindi kwa point maana yake aliepiga ngumi nyingi na kushambulia sana hushinda.
So ingekua Bayern,Barca,Arsenal wangekua wanashinda sana kwa points.Wakati kina Chelsea wangepata sana vipigo ktk boxing kwa points na kushinda kwa KO.
Things dont look good for Floyd labda abadilishe approach.
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
Invisible njoo ui-like hii post. Ban inakuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi timu za kudefend na kushinda kwa kuvizia huwa sizipendi, napenda timu zinazoshinda kwa kuattack zaidi, so sikuhiyo nitakuwa upande wa PAC
 
Team #TMT Mayweather akipigwa na Pac naenda kufanya Pastic Surgery mwili mzima nisijulikane na member wa Jf!! ikishindikana nipigwe life ban!!
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.

Sasa una nusu saa tu ya kuzawadiwa ban ya huo muda husika maana manpaqiao kishakula makonde matata
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
mkuu ahadi ni deni,kuwa muungwana basi.
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.

Kuanzia Leo tarehe 3 may huruhusiwi kupost chochote mpaka tarehe 28 may 2015. Tunakuweka nje kwa maombolezo na kama ukipenda kuongeza mda,unaruhusiwa kifanya hi yo.
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
cc Invisible kwa uangalizo zaidi.. hahahaa!

Koo limeniuma leo kwa kumpa shavu MayWee!

Mkuu si umeomba Ban Mwenyewe? Na hukusema kwamba unatania ama la?

haya Invisible, Moderator, assignment hii hapa! jamaa ya PAC kaingia kichwa kichwa:becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom