Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanna see a couple of rich guys demonstrate their richness in ridiculous fashion?
Well, Diddy and Mark Wahlberg have made a $250,000 bet on the Mayweather vs. Pacquiao fight ... like it ain't no thing.
Diddy's got Floyd. Mark's got PacMan.
Daaahh karibia Milion 450 hapo wanaume wame-bet...
Mkuu Snipa upo hapo
Hahahaa so truu
Hapo maywthr asubir kukalishwa lets wait
Invisible njoo ui-like hii post. Ban inakuhusu.Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
Mmmmh mie ni timu money bana lazma pac akae tena mapema tu
Hebu bet basi kadollar ili inoge😜😜😜😜
Naona umemuacha mzee kitandani
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
mkuu ahadi ni deni,kuwa muungwana basi.Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
cc Invisible kwa uangalizo zaidi.. hahahaa!Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.