Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Invisible kwa kweli nakuitia watu wako!:becky:Mods pac akipigwa nipigeni ban 5 days, mimi team pac
Team MayWee!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Invisible kwa kweli nakuitia watu wako!:becky:Mods pac akipigwa nipigeni ban 5 days, mimi team pac
Manny lazima amshikishe adabu huyu lofa mpenda masifa.
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
Team ManPac
Tumeshindwaaa ndugu
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.
Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.
Mwenzangu. ...ila hapana. ..waliyapanga matokeo