Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Manny lazima amshikishe adabu huyu lofa mpenda masifa.

ungemalizia, ''and vice versa is true''! teh..
Mkuu ila ndio matokeo, MayWee kacheza kijanja janja sana!

Pac amekiri wazi kuwa hakuwa anampata vizuri MW kwa kuwa jamaa alikuwa anamkimbia sana!
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.

Twambie kama bado uko tayari kuomboleza vizuri!
 
cc Invisible kwa uangalizo zaidi.. hahahaa!

Koo limeniuma leo kwa kumpa shavu MayWee!

Mkuu si umeomba Ban Mwenyewe? Na hukusema kwamba unatania ama la?

haya Invisible, Moderator, assignment hii hapa! jamaa ya PAC kaingia kichwa kichwa:becky::becky:

nadhani pac hajapigwa kwa kiswahili sanifu. kupigwa ni ndani ya raundi 12 yaaani kwa knock out lakini mkienda kwenye points huko siyo kupigwa ni ushindi wa mezani ( wa majaji)
 
Me bet for pacuiao, honestly.. mayweather ni mzee wa kujiguard tu nakukumbatiana ulingoni, lakini Manpac mzee wa makonde yenye kasi, anamjua ndomana alikua anadhani jamaa anatumia madawa yakuongeza nguvu, kumbe ni uanaume tu.

Akipigwa manny pac, wanipige ban siku 25 niomboleze vizuri.

teh teh...
snipa
status: Banned
 
Back
Top Bottom