Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

sema wewe MosDef maana mi nimemuona nikaamua nimchunie baada ya kusoma maneno yake ya mwisho..."Tafadhali mtu yeyote asiseme kwamba naandika fables. It annoys me."
 
Wakati mwingine tunaambiwa Rothschild family ndiyo familia tajiri zaidi ulimwenguni. Wataalam wa mambo tuambieni nani ni nani kwenye mambo haya ya utajiri wa dunia.
 



Mkuu naona uwezo wako na wengi tulioko hapa ni tofauti kama mbingu na ardhi!!

Anyway nandelea kujifunza kitu kutoka ulichandika!

Kumbe humu dunian kuna wanadam na majini. Na haya majini yana sura kama wanadam na yanaweza hata kugombea uraisi na yakapata!?


Kuna post yako moja umesema kwamba wengine walikufa katika ajali while others were killed. At the same time wakaendelea kuishi katika mazingira fulan. Sitaki kubishana na wewe ila imenishangaza sana aisee!!!!
 
mkuu msnajo usikubali bila ya kuhoji maana Malaika na wanaadamu ni viumbe tofauti sana. hivyo hakuna ushahidi wowote wa kimaandiko ya kuonyesha malaika aliweza kujaamiana na mwanadamu.
 
Last edited by a moderator:
Tutofautishe aina ya utajiri;Billy Gates na wenzake wengine wanamiliki utajiri kwa kiwango cha mtu mmoja mmoja kama kampuni km Dell. Ila kuna utajiri wa kifamilia km Walmart, na kimtandao kama huo unaosemwa wa Rockfeller Foundation(s).Hata viongozi wengi wa Africa ni matajiri ilahawatajwi katika orodha za matajiri kutokana na nafasi zao kiuongozi na vile wamepata utajiri wao. Naomba kuwasilisha
 
familia ya kikwete na ridhiwan VP itakuwa imevunja record yao
 
Yaani wewe leo ndo nimekudharau rasmi, sikujua ukoo wa nyerere una watu vilaza kiasi hiki!!Hebu nipe conspiracy theories za babu yako nyerere, yuko wapi? Au ndo amegeuzwa kuwa robotoid makongoro?
 

Dah me inazidi kunichanganya tu...watu walichora ndege kwenye mapango ya amboni hata wakat ndege hazijagunduliwa!!! hv mkuu inawezekana tukawa katia Dunia ambayo ni fake!!! yaweza kukuta mimi nilishaishigi miaka 1000 iliyopita. nini maana ya haya yote?
 
Duuuuuuu nimefuatilia uzi huu mpaka comments za mwisho najihisi kama niko kwenye dunia nyingne kabisa,kweli duniani wengine tunaijua kwa 0.000000000000000001%
 
Duuuuuuu nimefuatilia uzi huu mpaka comments za mwisho najihisi kama niko kwenye dunia nyingne kabisa,kweli duniani wengine tunaijua kwa 0.000000000000000001%
haa haa mkuu mathalani umeshakuwa member hapa basi upo kwenye fursa ya kufunuliwa mengii usioyajua na wewe kutufunulia tusio yajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…