Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Halafu waswahili wataanza kusema akina Rockefeller ni mafreemason wa daraja la 1
 
Kaka mwaka 1997 kama sikosei Bill Gate alikuwa na 128USD na utajiri wake unakua 11% annually hence 25yrs mbele akiwa na 86yrs old atakuwa Trillionaire[emoji51]
 
Nna wasi wasi na hii story, nazani ni ukwel uliochanganyika na uongo ndani yake.
 
Duh acha kuwadanganya watu chief
uongo mtakatifu
Acha uongo Wako wewe mshamba wewe
Hawa wote wamejiunga JF mwaka jana 2016 na mwaka huu 2017,ukiangalia na namna wanavyoandika utaona tu kama siyo watoto basi ni watu ambao hawapo makini kabisa....

Unawezaje kuandika tu kirahisi "uongo mtakatifu" bila kuelezea ni uongo namna gani na kwa nini na ukweli ni upi?

Hawa watoto wanaharibu sana majukwaa mengi hapa JF haswa jukwaa hili maana lilikuwa linatusaidia sana kwenye mambo mengi.....
 
Mkuu una uhakika na unachokiongea au umehadithiwa tu..kuna documentary inaitwa the men who built america nenda youtube utazipata kuanzia part 1 had 4..zinaelezea maisha halisi kuanzia rockafeller,vanderbilt,andrew carnegie,j.p morgan na henry ford..alafu usome na vitabu vya historia vya hao jamaa..nakuongezea na historia ya rothschild famili..na uje usahihishe ulichoandika,acha kudanganya kam kitu hujui vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…