Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaKaka anatafuta maarifa we unaleta uswahili wako na u-freemason
Hapana...ni familia mbili tofautiWakuu huyu ROCKAFELLER ndiyo Rothschild?
Sasa mbona hii familiya ya Rothschild ndiyo inayo sadikika inaicontrol dunia?Hapana...ni familia mbili tofauti
mkuu kuna vitu hufichwa kwasababu vina umuhimu kwa wanaoficha au wanaofichwa na pia kina madhara kwa pande zote husika,muhimu jaribu kuingia mtandaoni google vitu ambavyo juve2012 kaviongea napia haya mambo yapo yalitabiriwa na yatatokea keep in mind? what to do?ndo swali ambalo binadamu yabidi tukae tulitaftie majibu but absolutely we are late illuminate washatake control kila kitu na option iliyobakia ni kuamini imani uliyozaliwa nayo,amini ukifanyacho never trust anyone ata kama ni mtumishi wa MUNGU kama yaonekana yuko kinyume na unachokiamini.Hujajibu swali, that much is clear.
Imetolewa na nani? inapatikana wapi? ina authority gani?
List inayojulikana na kuwa quoted the most - rightly or wrongly- ni ya Forbes. Ambayo haijawahi kuripoti mtu kufikisha net worth ya 100 billion US dollars.
Huyu Rockefeller mwenye net worth ya dola bilioni 663 karipotiwa na list gani? Inaitwaje? Inapatikana wapi?
Na hizi dollar ni dollar gani?
Maana isije kuwa tunaongelea dollar za Zimbabwe hapa.
mkuu tujibie basi maswali about Jay z na rocafellaHawa wote wamejiunga JF mwaka jana 2016 na mwaka huu 2017,ukiangalia na namna wanavyoandika utaona tu kama siyo watoto basi ni watu ambao hawapo makini kabisa....
Unawezaje kuandika tu kirahisi "uongo mtakatifu" bila kuelezea ni uongo namna gani na kwa nini na ukweli ni upi?
Hawa watoto wanaharibu sana majukwaa mengi hapa JF haswa jukwaa hili maana lilikuwa linatusaidia sana kwenye mambo mengi.....
Nipo tu apa najishangaa nilivyo mjinga wa kupindukia aaf natembea na android kila siku bila kujua haya.
Mkuu hili la kutokurud kanisani limefanya ni qout post yako.Soma zaidi na ukitaka kujua zaidi fungua moyo wako kasome Quran na kuna uwezekano usirud kanisan
itanimulli? CIA hutaambulia cha maana sana MkuuNaenda kugeuza illuminati then nigoole