Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Katika dunia hii wapo watu ambao kwa utashi wao na makusudi yao wameamua kumtumikia shetani, hawa nao huwaingiza wengine katika kundi hili kwa njia ya mamlaka.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
very true
 
hawa Rothchild si wazuri kabisa two sons from the very same familly Rothchild,, walichangia kutokea kwa vita kati ya Ufaransa dhidi ya Hispania iloitwa FRANCO- SPANISH WAR mmoja akisupport Ufaransa kwa kusupplly GUNS mwingine akisuppot HISPANIA, then they sat together wakikata vinywaji baridi waki watch movie ya FRANCO SPANISH huku wallet zikituna ,,, they are devil indeed
 
hawa rockefeller kwa mara ya kwanza nilianza kuwajua o level ,, kwenye topic ya COLONIAL ECONOMY hawa jamaaa wamepiga pesa sana kipindi hicho na ni kati ya familia zilizo fund zoezi la COLONIZATION IN AFRICA
 
Nimecheka kama mazuri...hii dunia hii.
 
Hii research ni ya wikipedia au from primary source. Forbe ni jarida maarufu na linaloaminuka nchini Marekani kwa kufanya utafiti. Hawajawahi in more than 10 years ago kuitaja hii familia kama the top world richest family. Wikipedia ni dampo la habari ambazo not realistic. Familia hii ni historia na kiwango kinachotajwa hakipo kwenye umuliki wao unless kama ni total ya pesa za mababu mpaka vitukuu wa leo.
Forbes ambalo ndilo jarida linaloaminika Marekani kwa kufanya utafiti wa mablioni ya watu haijawahi kumtaja mwanafamulia yeyote katika 3 bora in more than 10yrs ago. List dominants ni Bill Gates, Carlos Slim, Warren Buffets and so

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikiliza nyimbo ya jayz mpya ya STORY OF OJ
Jay z anaimba" do you know how jews own EVERY PROPERTY IN AMERICA?"
Well hao jews anaoongelea ni hao Rockafeller
Imagibe wanaown karibu ya 90+% ya property in America.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwahi kisikia hii familia ina nsaba ya kiyahudi, ni mtiririko ule wa mfalme Suleimani! na ikizingatwa anatajwa kuwa mtu aliekua na utajiri mkubwa kuliko mtu yoyote aliekuweo kabla yake na baada yake, so watoto wke ndio hao wanaikimbiza dunia! ila bahati mbatya walikuja kuwa uande wa shetana na ikizingatia walizaliwa kutokana na wanawake wa kiagani, kwaio ni mfumo ule ule wa utajiri wa baba na imani ile ya mama zao ya kiagani!
 
Asante kwa elimu hii nzuri na yenye manufaa kiukwel nimefurahi sana kujifunza hili leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…