Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani


asante
 
mkuu mengi uliyoyasema ni kweli ila tu kwa kuongezea ni kuwa Rockafeller family kama unavyosema ni moja ya familia iliyotajirika kwa uwekezaji wa Rothchilds family kwa US. kipindi John D. Rockafeller anatajirika mikopo ya biashara zake alipata kutoka katika mabenki ya Rothchilds family ( Citi Bank, JP Morgan) hayo ndio yaliyoprovide mitaji katika biashara za Rockafeller.

Rothchilds ndio wanao control Reserve bank of America kwa kushirikiana na Rockafeller na ndio wanaolipwa pesa nyingi na central bank ya UK kwa mikopo waliotoa wakati wa vita enzi zile.

Kwa kukumbusha tu ni kuwa hata ardhi ya Israel ya sasa ilinunuliwa na familia ya Rothchilds ( kwani hawa wote ni wayahudi) na ndio walioleta mpango wa UN ( makao makuu ya UN ni ardhi iliyotolewa na Rockafeller bule kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu).

na kingine kumbuka huu mfumo wa benki tulizonazo ni mfumo ulioanzishwa na babu yao Rothchilds ndio maana wana-control ya benki nyingi duniani. Na wana-control kwa kutumia mfumo wa gold ( rejea utajiri wa central banks zote duniani hutambuliwa kwa reserve ya gold uliyonayo benki). na hata makampuni mengi makubwa ya kuchimba dhahabu huwa ni ya kwao. (barrick gold soma wamiliki wake).

kwa nini wanasema Rothchilds wanatawala hii dunia? ni kwamba wanatoa mikopo mingi sana kwenye mataifa almost 75% ya dunia hii ikiwemo US, UK, France, German na ulaya yote kwa ujumla na hutoa mitaji ya biashara nyingi duniani kwa kutumia watu na familia mbali mbali.( Rockafeller, Ford family). na hii ndio maana mataifa yote makubwa hulinda Israel kwani ndio msingi wa utajiri wao.

labda tu kwa kumalizia ni kuwa familia ya rothchilds haiwezi kufilisika labda dunia yote imefilisika na kubadili mifumo yote ya biashara. na tatizo lingine ni kuwa huwa hana-control information zote zinazohusu utajiri wao kwani mashirika makubwa ya biashara duniani ni sehemu ya miliki zao (Reuters).

kwa habari zaidi tafuta family history ya Rothchilds na jinsi walivyotoa mikopo kwenye biashara za vita kwa mataifa ya ulaya. kwani baba yao aliamini na alifanya biashara zaidi wakati wa vita kwani mataifa mengi yalienda kukopa kwao ili yapigane vita.
 

Forbes huwa wanatoa net worth za watu binafsi au za familia? huyu Jamaa kaizungumzia Rockafeller kama familia.
 
Net worth $663.4 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures, based on information from Forbes – February 2008
Source wikipedia

1. Hizi habari za "net worth of so and so in 2007 dollars" is murky unless the accounting method is revealed.
2. The Rockafelleer Wiki is here , I am not seeing those figures, where are you getting those figures?3. What exactly constitute a "family"? Are we talking about the nucleus family or including extended family?
 
Forbes huwa wanatoa net worth za watu binafsi au za familia? huyu Jamaa kaizungumzia Rockafeller kama familia.

Halafu hatujaambiwa familia ni "nucleus family" au extended family au mpaka extended family ya extended family?

Halafu mmoja anatuambia

DID YOU KNOW THAT JOHN D ROCKAFELLER'S NET WORTH ILIKUWA $663.3 BILLION IN 2007

Wakati mwingine anatuambia

Net worth $663.4 billion in 2007 dollars

Halafu hatujaambiwa figures zimekuwa calculated vipi, na kwa nini Mansa Musa aliyegawa dhahabu hapo Cairo mpaka kuishusha bei yake kwa miaka hayumo kwenye hii list.
 

Amesema familia iliyokuwapo enzi na enzi sasa sijui unataka clarification of nucleus vs extended family ya nini?
 
Amesema familia iliyokuwapo enzi na enzi sasa sijui unataka clarification of nucleus vs extended family ya nini?

Enzi na enzi ni muda, nucleus vs extended ni ukubwa gani unaangaliwa (kama baba mama na watoto wa line moja au mpaka mjomba shangazi na shemeji).

Zote mbili (nucleus and extended) zilikuwepo enzi na enzi, kwa hiyo suala la enzi na enzi ni moot, if not outright irrelevant.
 

Anamaanisha utajiri uliorithishwa kizazi kimoja kwenda kizazi kingine toka miaka mingi iliyopita.
 
Anamaanisha utajiri uliorithishwa kizazi kimoja kwenda kizazi kingine toka miaka mingi iliyopita.

Kizazi kimoja kwenda kizazi kingine kwa maana ya kizazi nucleus au extended? Hujajibu hilo swali.

Hata ukoo unaweza kurithishana mali kizazi kwa kizazi. Which family is rferred to here? The nucleus or the extended? Do you know the difference betwen the nucleus and the extended family?
 

May be I do not know, but nucleus ends at Father, Mother and children. when you start including the grand fathers, sons .... then you have the extended. what is your position?
 
1) Rockafeller ndiyo waliliangusha jengo la World Trade Center?

2) Rockafeller ndiyo waliwaweka madarakani kina Kennedy, Bush, Clinton, Obama?
 
May be I do not know, but nucleus ends at Father, Mother and children. when you start including the grand fathers, sons .... then you have the extended. what is your position?

Swali lako linaturudisha katika swali langu.

Tunaposema "Rockafeller family" katika mantiki ya uzi huu tunamaanisha nini? Tunamaanisha kwamba John D. Rockefeller na mke na watoto wake au kuanzia na patriarch mwingine aliyekuwapo kabla ya John D?

Tunapoongelea the JFK family fortune tunawaongelea JFK, JFK Jr., Caroline na Jackie O tu au Joe Kennedy, Rose Kennedy, Joe Kennedy Jr, RFK, Ethel Ted na watoto wengine wa Joe na wake zao nao wanaingia?
 

Kama yupo basi ni kuanzia kwa patriach aliye au waliokuwapo na vizazi vilivyofuatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…