Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

what i've been discovered, tokea siku ya nne nilipojiunga Jf, ili upate habari nzuri, za uhakika na siri sana na za kuupa ubongo wako changamoto kubwa hisivyo kawaida tembelea Jf mida ya "Nightmare". Yangu ni hayo tu kwa wale Jf members wasiopenda "Ukilaza". Shukrani za dhati kwa mkuu juve2012, C.T. U, et al. Sitachoka kujifunza mengi na kujua mengi kupitia kwenu.

jf kuna udambwi udambwi mdau,,,ishu ya HAAARP IMENIVUTIA SANA NA NIMEANGALIA VIDEO ZAKE KADHAA YUTYUBU
 
Kuhusu hiyo project alosema juve ya HAAARP!, click hyo link hpa chini mahali nimeona ,kwamb h project n kubwa sana na imeanza hasa na military interest kipind cha vita kuu ya pili.

Kuna detail nying ambzo kimsing unatakiwa upitie na uone mwenyewe ujiridhishe, pia kuna baadh ya picha na michoro inaonesho namna project inafanya kazi!


the background of HAARP

binafs nimevutiwa na HAAARP ina maana hata Iran anakumbana na kibano cha HAAARP????
 
Mkuu Juve thanks for the link... Nimekuta vitu huko mpaka nywele kichwani zinasisimka,
 
Mmewahi kusikia kuwa maeneo mengi ya dunia yaliyokumbwa na merger disasters kama Japan,Indonesia kulikuwa na UFO sighting kibao punde kabla ya matukio?If you are interested to know why Japan is having so many natural disasters now and who is behind it please google the word HAAARP!

Mkuu upo deep sana real appriciate,,usichoke kutupa darasa huru.
 
Maelezo yako ni mazuri,ila naomba tuwe kee na source mbalimbali ili tuweze kujifunza zaidi pia weka na issue za Africa na Tz kuhusu hayo maswala.
 
Hawa jamaa ndiyo waliotoa pesa zao kupitia rais Kennedy msaada kwa Nyerere baada ya uhuru kujenga yale majengo mawili makubwa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
 
dah nimejifunza ulimwengu wetu ila bado nahitaji kufahamu zaidi juu ya nephilims na jinsi ambavyo wanaendelea ku survive juve ningependa uje ufafanue zaidi hawa watu maana hata mimi kuna jambo huwa naliafiki kwamba adam hakuwa kiumbe wa kwanza mwenye mwonekano wa binadamu walikuwepo kabla yake maake hata biblia inasema baada ya kaini kumuua abil kunasehemu alikimbilia na huko alikutana na watu na akaoa sasa hao watu walitokea wapi? wakati abili na kaini ndo walikuwa watoto pekee wa adamu na hawa kwa wakati ule
:confused3:
 
Hawa jamaa ndiyo waliotoa pesa zao kupitia rais Kennedy msaada kwa Nyerere baada ya uhuru kujenga yale majengo mawili makubwa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam.

mkuu Ritz u mean Hall II na hall V????
 
Last edited by a moderator:
Angalizo:ni busara hiyo website muifungue internet cafe.si vema sana kutumia simu yako ya mkononi au computer yako please!unaweza kuvitumia hamna kitakachotokea lakini si vizuri ukajijengea mazingira ya KUFUATILIWA especially kama wewe una nyadhifa kubwa serikalini au ni mtu ambaye unaweza kuvuta attention ya wanausalama kukufuatilia.nimetoa habari hizi kwa nia njema.if you will find it interesting ukawaandikia hao jamaa na kujiunga nao,DAMU YAKO NA IWE JUU YAKO MWENYEWE!Mwenyezi MUNGU kanisikia!nasubiri majibu yenu mniambie nini kimefunguka,niwaambie jambo!

Mkuu juve2012,salute kwako,nimekuwa nimmoja wa watu mfuatiliaji wa hivi vitu,lakini nimegundua nilikuwa
na kiu bila kupata nilichohitaji,asante saana umekuwa msaada mkubwa sana wa kunifanya kujua vitu viiingi
ambavyo vitakuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kiroho na kimwili pia.Be blessed.
Naendelea kuwa mwanafunzi wako mwaminifu'

am
 
mkuu juve hembu nipe darasa la hawa nephilims na madhara yake na vingne vng, i real need to know it as from bible say my people perish by lacking of knowledge.
kwa muda wa miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS

kuna mada ililetwa humu kuhusu rothschild ilikuwa ni mada nzuri
na katika baadhi ya wachangiaji walisema kuwa familia ya kina rothschild imepoteza ubabe wao wa kipesa eti familia ya kina rothschild wanazidiwa na kina bill gates, warren buffet n.k

niliishia kucheka na ndicho kilinichonisukuma mie leo kuandika machache kuhusu familia hii ya kina rockafeller

rockafeller ni familia ambayo imekuwapo tangu enzi na enzi ndio msingi wa serikali ya marekani kuwepo pale
ubabe wa serikali ya marekani unatokana na uwezo wao hawa jamaa Rockerfeller

JOHN D ROCKERFELLER NDIO TAJIRI AMBAYE HAWA NINA BILL GATES UTAJIRI WAKE WATAKALIA KUUSIKIA TU

BILL GATES ANA LIKE 50 MILL BILLION USD ILA DID YOU KNOW THAT JOHN D ROCKAFELLER'S NET WORTH ILIKUWA $663.3 BILLION IN 2007 , ACCORDING TO LIST OF WEALTHIEST HISTORICAL FIGURES


huyu jamaa watu wanasema alifilisika , no hakufilisika ila pesa zake alianzisha miradi mbali mbali mikubwa CHINI YA SERIKALI YA MAREKANI

na hii ilikuwa ni kujipenyeza ili aweze kuwa na say katika serikali ya marekani

mpaka leo familia yake ndio familia yenye nguvu sana marekani na duniani kote, wao ndio wanachagua nani awe raisi, nani awe mkuu wa majeshi nani awe makamu wa raisi famlia ya rockerfeller wanaingiza pesa nyingi sana kila siku kwenye miradi mikubwa ya marekani ikiwamo mradi wao maarufu wa ROCKAFELLER CENTER

rockafeller center ni nini??

Ngoja nikuulize swali dogo?

ukiambiwa neno NEW YORK unafikiria nini

MAGHOROFA si ndio
hayo maghorofa ambayo asilimia kubwa yako yapo pale midtown midtown manhattan
sasa jamaa hawa wana majengo 19 katika midtown manhatan acres 22 kuanzia street ya 48 mpaka ya 51

820px-NYC_Top_of_the_Rock_Pano.jpg





kama hivyo ndivyo rockafeller center inavyoonekana

picha zingine hizi hapa

250px-GE_Building_by_David_Shankbone.JPG








220px-Rockefeller_under_construction.png






hapa ilivyokuwa inajengwa mwaka 1932


wao ndio wanamiliki vyuo vikuu maarufu vyote vya marekani kwa kupitia Rockafeller foundation


vyuo hivyo ni





vingine ni




  • Senior (and Junior) also created
    • Rockefeller University in 1901
    • General Education Board in 1902, which later (1923) evolved into the International Education Board
    • Rockefeller Sanitary Commission in 1910
    • Bureau of Social Hygiene in 1913 (Junior)
    • International Health Commission in 1913
    • China Medical Board in 1915.
    • Rockefeller Museum, Israel, 1925–30
    • In the 1920s, the International Education Board granted important fellowships to pathbreakers in modern mathematics, such as Stefan Banach, Bartel Leendert van der Waerden, and André Weil, which was a formative part of the gradual shift of world mathematics to the US over this period.
    • To help promote cooperation between physics and mathematics Rockefeller funds also supported the erection of the new Mathematical Institute at theUniversity of Göttingen between 1926 and 1929
    • The rise of probability and mathematical statistics owes much to the creation of the Institut Henri Poincaré in Paris, partly by the Rockefellers' finances, also around this time.[SUP][7[/SUP]
    • Junior was responsible for the creation and endowment of the Colonial Williamsburg Foundation, which operates the restored historical town at Williamsburg, Virginia, one of the most extensive historic restorations ever undertaken.


REAL ESTATE

HAPA NDIO PATAMU



The family was heavily involved in many real estate construction projects in the U.S. during the 20th century. Chief among them:

  • Rockefeller Center, a multi-building complex built at the start of the Depression in Midtown Manhattan, financed solely by the family
  • International House of New York, New York City, 1924 (Junior) {Involvement: John D. 3rd, Abby Aldrich, David & Peggy, David Jr., Abby O'Neill}
  • Wren Building, College of William and Mary's, Virginia, from 1927 (Renovation funded by Junior)
  • Colonial Williamsburg, Virginia, from 1927 onwards (Junior, Abby Aldrich, John D. 3rd and Winthrop), historical restoration
  • Museum of Modern Art, New York City, from 1929 (Abby Aldrich, Junior, Blanchette, Nelson, David, David Jr., Sharon Percy Rockefeller)
  • Riverside Church, New York City, 1930 (Junior)
  • The Cloisters, New York City, from 1934 (Junior)
  • The Interchurch Center, New York City, 1948 (Junior)
  • Asia Society (Asia House), New York City, 1956 (John D. 3rd)
  • One Chase Manhattan Plaza, New York City, 1961 (David)
  • Nelson A. Rockefeller Empire State Plaza, Albany, New York, 1962 (Nelson)
  • Lincoln Center, New York City, 1962 (John D. 3rd)
  • World Trade CenterTwin Towers, New York City, 1973-2001 (David and Nelson)
  • The Embarcadero Complex, San Francisco, 1974 (David)
  • Council of the Americas/Americas Society, New York City, 1985 (David)
  • In addition to this is Senior and Junior's involvement in seven major housing developments:
    • Forest Hill Estates, Cleveland, Ohio
    • City Housing Corporation's efforts, Sunnyside Gardens, Queens, New York City
    • Thomas Garden Apartments, The Bronx, New York City
    • Paul Lawrence Dunbar Housing, Harlem, New York City
    • Lavoisier Apartments, Manhattan, New York City
    • Van Tassel Apartments, Sleepy Hollow, New York (formerly North Tarrytown)
    • A development in Radburn, New Jersey
    • A further project involved David Rockefeller in a major middle-income housing development when he was elected in 1947 as chairman of Morningside Heights, Inc., in Manhattan by fourteen major institutions that were based in the area, including Columbia University. The result, in 1951, was the six-building apartment complex known as Morningside Gardens










ROCKEFELLER NDIO WAANZILISHI WA
Fed AU KWA JINA JINGINE NI FEDERAL RESERVE SYSTEM


FED NI NINI?

FED NI BANK SYSTEM YA MAREKANI AMBAYO NDIO INAYO CONTROL DOLLAR ILIYOANZISHWA MWAKA 1913 KAMA SIKOSEI

NA HII WALIKUJA NAO KIPINDI CHA GREAT DEPRESSION KWANI GD ILIKUWA INACHANGIA WAO UTAJIRI WAO KUSHUKA SO WAKAJA NA HII FED ILI WAWEZE KU CONTROL DOLLAR

WANA MSEMO UNOSEMA

WE CONTROL DOLLAR, WE CONTROL OUR WEALTH

252px-USDnotes.png



WOTE TUNAJUA KUWA WAO NDIO WENYE
WORLD TRADE CENTER NA

STORY ZINASEMA KUWA WAO NDIO WALIOIANGUSHA WORLD TRADE CENTER

WHY??

1 SWEET REVANGE
2. 1 SHOT TWO BIRDS


SWEET REVANGE

SWEET REVANGE NI KUWA WANA TAKE BACK THEIR OIL BUSINESS FROM ARABS KWANI KIPINDI KILE WAO ENZI ZA KINA JOHN D UTAJIRI WAKE MKUBWA ULIKUWA NI OIL

THEN ARABS WAKA TAKE OVER

SO WANAFANYA SWEET REVANGE WAKICHUKUA WALICHOIBIWA KUTOKA KWA BABU YAO JOHN D Oil


1 shot two birds

hii ni kuwa
they take back oil business kwa kuiba oil kutoka kwa arabs

na kufanikisha biashara yao ya silaha ambayo wame sign contract na serikali ya marekani


hao ndio ROCKAFELLER FAMILY FAMILIA MATAJIRI
ZAIDI MAREKANI NA DUNIANI KWA UJUMLA
 
Ndugu zangu mbona hamleti jibu jamani?niliwapa kahome work sijui mmekasahau?niliwaomba mgeuze neno "illuminati"kinyume.Kwa kifupi linakuwa "itanimulli",sivyo?sasa bonya hiyo itanimulli.com!nini kinafunguka jamani?
 
Back
Top Bottom