Ukitazama upande mmojawapo wa noti ya dola moja ya marekani,utaona pyramid.hii wenyewe wanaita "great seal".wana namna yao ya kuipa tafsiri njema lakini kila mahali penye illuminati hii ndio symbol yao kubwa sana.YES,noti ya dola moja ya marekani ina alama ya illuminati.this shows how deep things are!yes,they control the federal reserve bank!nawaomba mfanye research na kuelewa uhusiano uliokuwepo kati ya bank moja inaitwa Chase Manhattan na federal reserve,halafu mchunguze uhusiano uliopo kati ya federal reserve na World Bank,na nadhani wote tunaelewa uhusiano wa World Bank na central bank nyingi duniani.pia tunaelewa uhusiano uliopo kati ya central banks na other local banks!fuatilieni hiyo chain,halafu muendelee kusema pesa ni za kwenu!tukumbuke kuwa pesa inabeba thamani ya vitu na mambo yote ambayo kwayo transaction inafanyika.so whoever controls money controls global economy.hawa Rothschilds ndio wanapanga bei ya soko la dhahabu duniani kutoka London!Bilderbegers wanaweka vikao na kusimamia masuala ya kisiasa na policies mbalimbali duniani halafu kupeleka maazimio yao duniani kote kupitia mtandao wa taasisi zinazojihusisha na foreign policy.taasisi hizo zinaitwa central for foreign relation(CFR).Huko ndiko globalists wanakopikwa.ni uwanja ambao ellites wanapata nafasi ya kuwasiliana,kuwatengeneza wanasiasa ambao watatekeleza mambo yao kwa ufanisi.!watu wengi wanaofanya kazi wizara za mambo ya nje huzalishwa kwenye vituo hivi na wengi huingizwa kwenye mtandao wa intelijensia wakiwa huko.ni kitu cha kufikiria mara nyingi sana na kwa uangalifu mkubwa,kabla hamjaamua kuchukua mtu mwenye background ya idara hizi za foreign policy and diplomacy na kumkabidhi madaraka makubwa makubwa kwenye nchi,hasa ktk nchi zetu hizi "bendera fuata upepo".sina nia mbaya na watu waliosomea kazi hizi,lakini natahadharisha tu,huko ndiko mtandao wa dunia unakoingilia sana policy za nchi!Tukirudi kwenye mada,ile pyramid kwenye dola,ina maneno ya kilatini juu na chini!juu yameandikwa ANNUIT COEPTIS ikiwa na maana ya "amekubali(amebariki,ameridhia) matendo au mpango wetu".chini ya pyramid kuna maneno NOVUS ORDO SECLORUM ikiwa na maana ya "new order of ages".unganisha maana ya juu na chini halafu jiulize ni nani huyu ambae illuminati wanatamba kuwa amebariki mpango wao wa new order of ages?jibu linapatikana hapo hapo kwenye pyramid.ukiitazama kwa makini,utagundua sehemu ya juu ya pyramid(kilele au kofia)imetenganishwa na pyramid yote.katikati ya ile capstone yaani kale kakofia ka juu kalikojitenga,utaona jicho linaloangaza mchoro mzima wa pyramid kutoka pale juu hadi chini.hili jicho linaitwa all seeing eye au the eye of osiris,Mungu wa illuminati!halafu ukiitazama pyramid yenyewe inayomulikwa na jicho huku chini,utagundua kuwa ina ngazi 13(hesabu horizontal lines zinazokatiza pyramid!ile ngazi ya chini kabisa imeandikwa kwa kirumi 1776.ni mwaka ambao america ilipata uhuru lakini pia ni mwaka ambao tarehe 1,May Adam Weishaupt alianzisha illuminati kutokana na imani na mabaki ya Knight Templars!do a research on Knight templars uwajue!tafakari,mchoro wa pembetatu,unavyozidi kwenda juu ndio unazidi kuchongoka na kuwa mdogo.hii ndio structure ya utawala wa illuminati U.S na duniani.kule juu ile capstone na jicho ni light bearer,mwangaza unaoangaza yaani chanzo cha ufahamu.ni nani anayeitwa light bearer,aliyempa ufahamu mwanadamu ya kuwa "atajua mema na mabaya" pale Edeni?ile ngazi ya kwanza juu ya pyramid inayoifuatia capstone ni council of alliens(nephillims)ngazi inayofuatia chini ni council of 13 ikiwa chini ya mwenyekiti anayeitwa Pindar(pinnacle or pennis of dragon).mara nyingi mwenyekiti huyu ni kaka mkubwa wa Rothschilds!chini ya 13,kuna council of 33,chini 33 kuna 300,halafu 500(remember forbes "fortune 500"?kacheki logo za kampuni hizo!)chini ya hizi councils kuna intelligence organisations,chini ya hizo kuna CFRs,chini ya hapo kuna international institutions and religious organisations,chini ya hapo kuna world leaders,scientists na kadhalika hadi ngazi ya chini tulipo mie na wewe.notice that unapokwenda chini pyramid inaongezeka kumaanisha information awareness na mamlaka ni ya watu wengi,lakini kadri unavyopanda ngazi za juu kwa madaraka ya dunia ya leo,ni wachache walio nayo na ndio ufahamu wa kinachoendelea unavyozidi.wachache walio juu ndio mabosi wa dunia,wakitawala kwa msaada wa "mwangaza" wa capstone!mfumo mzima toka juu hadi chini unakuwa coordinated na illuminati na freemasons kulingana na ngazi husika!wako kila ngazi,ni itelligence within intelligence!nadhani mmepata picha ya mahusiano ya NSA na illuminati sivyo?jiulize mtu wa kawaida anaweza kudirect domain yake kwenda mtandao rasmi wa NSA na White house ?kwenye haya mambo ya intelijensia ogopa sana "third person",ni adui usiyemjua na ndio key player!sasa waungwana hebu tutafakari maana nzima ya hii pyramid,ujumbe wa kilatini iliyobeba,halafu ikiwa ndani ya noti ya dola,currency ya taifa kubwa duniani,major media of exchange worldwide,unapata ujumbe toka kwao?