Wakuu,nawashukuru kwa kuwa pamoja katika mjadala huu.ninaona kwa hekima,i can not cross this line kwa sasa,kwa sababu yaliyobaki itakuwa premature kuyazungumza!endeleeni kufuatilia mambo haya mtaelewa mengi,mengine mtayaona strange na "conspiracy theories"kwa sasa but don't worry,time will give you enough exposure to understand things which are strange to us today because of limited information and exposure.!tusali sana,tuombe Mungu sana.that's all i can say!niwaage na hivi vitu viwili,cha kwanza naomba google this,"George Bush heart of darkness,minerals and Africa"utapata ripoti fulani ya mwaka 1997 kutoka executive intelligence review(kwa wale ambao hawajaisoma ripoti hii,please,read it!).pili,kwa wale ambao ni free mind,hawana shida na material zinazochanganya sayansi na dini,please,google "KT EXTINCTION" halafu kasome ufunuo sura ya 8,fuatilia ripoti za ongezeko la natural disasters duniani,prediction za kisayansi juu ya huko tuendako,siri za Fatima(wakatoliki wanajua sana hii),pamoja na kitabu cha mwandishi mmoja wa zamani anaitwa Ellen G White,kinaitwa last days events!rafiki yangu Consigliere,uelewe tu kwamba UKWELI NI FACT ISIYOHITAJI FACTS NYINGINE ZAIDI YA YENYEWE,IT ONLY NEED TIME TO PROVE ITSELF!stay blessed but ninapopita barabarani,mashuleni na kuwaona watu wakienda kazini na watoto wetu wakisoma na kucheza...mzigo mzito moyoni..mzito sana..FUTURE TIMES ni mzigo mzito sana moyoni mwangu!naumwa kabisa!bora nisingejua niyajuayo,yamekuwa heavy burden,na hata nikiyasimulia vipi,hayawezi kuwa burden kwa mwingine,hajaipitia njia yangu!gentlemen,beware,there is GOD above,and Devil below!thanks!