Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
kila nchi ina special forces lakini tofauti ya ubora wake ni kulingana na majukumu ya kinchi pamoja na nguvu ya kiuchumi..ukishakua na nguvu kubwa ya kiuchumi basi lazima uwe na kitu bora zadi kulingana na uwezo wako kiuchumi, unapotaja ubora wa SEAL usisahau pia kuzungumzia SAS na SOB ya uingereza ambayo hujumuisha wapiganaji bora zaidi toka vikosi vyote vya jeshi la uingereza na wenye uzoefu zaidi, hii ndio inayopigiwa chapuo kua bora zaidi..seal team six ni kajina tu walikoipa hicho kikundi ili kuwachanganya washindani wao kudhani kua marekani ina timu kama hizo nyingi na hiyo ni ya sita