Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

Ngoja nikuibie siri ndugu yangu!!!

Kwenye mkutano wowote humuonapo kiongozi wa nchi,ogopa sana kuangalia walinzi wao.......ipo siku utapewa kosa na usijue limetokea wapi na wakati wewe ndo umelitafuta
 
Ngoja nikuibie siri ndugu yangu!!!

Kwenye mkutano wowote humuonapo kiongozi wa nchi,ogopa sana kuangalia walinzi wao.......ipo siku utapewa kosa na usijue limetokea wapi na wakati wewe ndo umelitafuta
🀣🀣🀣🀣 Huwa siendi kwenye mikutano Mkuu, naangalia kupitia TV.
 
Walau ungetaja nafasi kuliko majina binafsi ili uzi uwe na maisha marefu.
 
Wale wapambe tu, ila sio machawa [emoji3]
 
Kwa io mark Zuckerberg analindwa kuliko hata Marais waataifa mengine? Ndo maana umemueka namba 5 sio?

Ni Bora hata ungemuweka Samia hapo....
Ile kichwa ina akili kuliko haya marais yetu yote yaliyoko bara la africa. Acha alindwe tu
 
Ile kichwa ina akili kuliko haya marais yetu yote yaliyoko bara la africa. Acha alindwe tu
Jamaa ana ulinzi wa kawaida tu, walinzi 16 wanaopeana shift... Huwezi linganisha na ulinzi kama wa rais wa china ambaye anaenda na msafara una ndege 6 za kivita

Sijasema jamaa Hana akili, ila point ni kwamba hawezi tu kua na ulinzi wa kumzidi hata mama samia
 
6. MWIJAKU
 
Kutoka X mpaka JF,kweli hauvumi lakini...
 
Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani​

Nyumbani na kazini kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu kuna ulinzi masaa 24

Hakuna kiongozi duniani ambae hana ulinzi masaa 24
 
Nyumbani na kazini kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu kuna ulinzi masaa 24

Hakuna kiongozi duniani ambae hana ulinzi masaa 24
Mimi sina huo wa kibinadamu.

Ila ninao ule ulinzi mkali na wa gharama kubwa wa ki - mungu 24hrs, 7days a week

Kama ulikuwa na maana hii ya "hakuna asiye na ulinzi wa ki - Mungu 24hrs" , then I understand you.

Lakini kama una maanisha huu wa kibinadamu wa viongozi hawa wa5 ktk makala hii ya BBC na unalinganisha na wa Jaji wa mahakama kuu huko Sinyanga, then you're likely missing a point here!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…