Wajue wanaoitwa Mabeberu na mambo yao kwa Tanzania

Wajue wanaoitwa Mabeberu na mambo yao kwa Tanzania

Sisi hatuwakatai hao lakini hatutaki watawale Akili zetu eti wanatupa msaada.our mission ni uchumi wa kunitegemea siyo uchumi tegemezi.kichwani ukiamini kuwa kuna mtu anakusaidiaga huwezi kujitegemea.Tabia ya omba omba haimfanyi mtu akawa tajiri. Wao mabeberu wanatuijaji kuliko tunavyowaitaji sisi.so it should be win win situation. Tabia wanaoitumia kusababibisha vita na kuiba Mali za nchi hatuzitaki.Wameiba mafuta ya Libya na kufanya kuyagandisha kama jiwe leo wanatamba eti 100 years Hawana shida ya mafuta.
Kwa hiyo mkuu unategemea mtu maskini(jiwe) aifanye nchi kuwa tajiri?
 
Sisi hatuwakatai hao lakini hatutaki watawale Akili zetu eti wanatupa msaada.our mission ni uchumi wa kunitegemea siyo uchumi tegemezi.kichwani ukiamini kuwa kuna mtu anakusaidiaga huwezi kujitegemea.Tabia ya omba omba haimfanyi mtu akawa tajiri.wao mabeberu wanatuijaji kuliko tunavyowaitaji sisi.so it should be win win situation. Tabia wanaoitumia kusababibisha vita na kuiba Mali za nchi hatuzitaki. Wameiba mafuta ya Libya na kufanya kuyagandisha kama jiwe leo wanatamba eti 100 years Hawana shida ya mafuta.
Kwa hawa wapuuzi wanao shabikia upinzani huu wa kijinga wala hawakuelewi,wako kama vipofu tu hawaoni na wao wanadhani wako sahihi,utapoteza muda wako bure..hawaelewi kina Tundu Lisu wako kwenye mission za kutafuta pesa nyingi za kuzeekea na familia zao kwa kutumia akili za wajinga na ushabiki usio na maana,ni afadhari kukaa bila ushabiki wa chama cha siasa na kuendesha maisha tu.

Kundi la upinzani linadanganya sana wananchi
 
Usipounga mkono juhudi fake, ukisapoti upinzani na kuhoji hela za kununua Ndege zimetoka mfuko gani basi fasta unakuwa Kibaraka wa Mabeberu........salama yako ukae Kimya.
Serikali haikusanyi kodi? Kinachoendelea hapa nchini na juhudi za anaye tuongoza hamuoni?
 
Still hao ndo wanawalisha indirectly na kufanya ujimwambafy nyuma ya keyboard,fanya kama mnawafukuza wote hivi na misaada yao alafu tuone matokeo yake ndani ya saa 24. Hilo jina kulitamka ni tamu ila ndo huwezi fanya lolote na ukweli utabaki pale pale.
Ikiwa hivyo ndiyo wachukue kirahisi kilicho chetu?

Wewe haijarishi ni wa kiume au wa kike lakini utakuja kuolewa kwa sababu ya kusaidiwa vipesa pesa
 
Mabeberu ni nchi za wazungu ambazo zinahimiza watawala wa kiafrika waongoze kwa kufuata utawala wa sheria na katiba, ila pia wakitoa misaada jina linabadilika na kuwa nchi wahisani.
 
Umeongea jambo kubwa sana hasa hapo kwenye Utalii.nimegundua kumbe haya mambuga yetu ya wanyama pori bila kutembelewa na mabeberu tunaweza kuyafugia ng"ombe maana yanakua hayana kazi.Tumeona juzi kwenye corona hali ilivyokua tete.
 
Kwanini watawale akili zako,au akili zako ni ndogo,maana kile dhaifu ndicho kinachonyonywa na mwenye nguvu.Uko kote ulikokutaja tatizo wala halikua mabeberu bali wananchi wenyewe wa hizo nchi na viongozi wao.Kama hamjielewi kwanini msiibiwe,hapa bongo penyewe kwasababu ya ujuha wetu mbona tunaibiana wenyewe kwa wenyewe. Au maufisadi yanchi hii uyajui? Toka kwenye hilo pepo ulikoingia.
Sisi hatuwakatai hao lakini hatutaki watawale Akili zetu eti wanatupa msaada.our mission ni uchumi wa kunitegemea siyo uchumi tegemezi. Kichwani ukiamini kuwa kuna mtu anakusaidiaga huwezi kujitegemea. Tabia ya omba omba haimfanyi mtu akawa tajiri.wao mabeberu wanatuijaji kuliko tunavyowaitaji sisi. So it should be win win situation. Tabia wanaoitumia kusababibisha vita na kuiba Mali za nchi hatuzitaki. Wameiba mafuta ya Libya na kufanya kuyagandisha kama jiwe leo wanatamba eti 100 years Hawana shida ya mafuta.
 
Kwahiyo wagombea walumumba ndio ambao hawatafuti ela za kuzeekea?.Maana tunaona wanaojilimbikizia mali ni hao hao.au wakifanya wao kuitafuna nchi nakutapanya kodi zetu ni sawa ila sio ruhusa kwa wengine nao kufaidi mema ya nchi?.Acha akili zakibinafsi nakimaskini.
Kwa hawa wapuuzi wanao shabikia upinzani huu wa kijinga wala hawakuelewi,wako kama vipofu tu hawaoni na wao wanadhani wako sahihi,utapoteza muda wako bure..hawaelewi kina Tundu Lisu wako kwenye mission za kutafuta pesa nyingi za kuzeekea na familia zao kwa kutumia akili za wajinga na ushabiki usio na maana,ni afadhari kukaa bila ushabiki wa chama cha siasa na kuendesha maisha tu

Kundi la upinzani linadanganya sana wananchi
 
Msemo wa mabeberu kwa maumbile ya wanaadamu ni watu ambao ni wahitaji wa mali kupitia mfumo wa makubaliano ambayo yananyonya upande wa pili na kwa mashart ya ukandaizaji kwa kutumia mitaji yao.
 
Ukisikiliza hii hadithi ya mabeberu, halafu inaimbwa na viongozi, ndiyo unaamini kuwa Tanzania tuna mzigo mzito tuliobeba, yaani kuwa na viongozi wasiojua Dunia ilipo na inakoelekea. Tuna bahati mbaya sana.
Barrick na Acacia waliitwa mabeberu akaja boss wao akawapiga kozi acacia akatupiga maneno matamu baba akamwita yeye na kundi lake WANAUME. Mwanaume akakwepa kihunzi cha $190B ya kukwepa kodi aka ahidi $300 za Goodwill. Hapa watanzania tuamue wenyewe kama kwa serikali yetu kuna tofauti yeyote kati ya beberu na rafiki (mwanamume) au inategemea baba kaamkaje?
 
Ikiwa hivyo ndiyo wachukue kirahisi kilicho chetu?

Wewe haijarishi ni wa kiume au wa kike lakini utakuja kuolewa kwa sababu ya kusaidiwa vipesa pesa
Basi nchi nzima imeshaolewa na mabeberu kwa kuendekeza kupenda vimisaada na vipesa pesa ikiwemo na wewe.
 
Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.

Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?

Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache.

Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru Wanamaanisha Wabelgiji kwa sababu ndiko alikotibiwa Lissu. Sasa tuangalie Ubeligiji inatutishia nini sisi Watanzania?

Tuangalie wengine. Tuanza na baba lao USA. Hawa tuna ubalozi nao na wanatupa faida kubwa ya kutulete watalii na biashara. Lakini pia tunapokea misaada yao.

Vivyo hivyo kwa UK, France, German, Canada etc

USA Wana USAID. UK Wana OXFAM. Wengine sijui lakini walikuapo DANIDA, FINIDA, JICA etc.

Mbali na yooote tunawahitaji kwa kile tunachoita watalii. Tunahitaji watalii, mitambo, madawa, vifaa vya elimu n.k Tunawahitaji kwa biashara na misaada.

Wanahitaji Bidhaa zetu nasi tunahitaji zao, tunahitaji pesa zao.

Hawa ndio mabeberu, au kuna wengine mimi siwajui?
Umejitoa tu ufahamu. Mzungu hajawahi kutoa msaada kwa mwafrika. Kama una akili ya kawaida, fikiria kwanini hawajawahi kununua mablanketi au sukari ya Tanzania ili kutoa msaada kwa watanzania, badala yake kama ni bidhaa huleta kutoka kwao au kama ni fedha lazima watakupa sharti la kununua baadhi ya mahitaji kutoa kwao

Mzungu always anavuna siyo kupoteza hata siku moja.

NASISITIZA, MZUNGU HAMPENDI MWAFRIKA NA HAYUKO TAYARI KUMSAIDIA HATA SIKU MOJA.
 
Mataahira na misukule ya lumumba ndo yanayotoa maneno haya ya hovyo kabisa ndio maana ni lazima kupumzisha hawa mabeberu ccm maana ndio wanaofanya ufisadi wa kutisha hadi takukuru wanawaogopa kuwakamata kwa rushwa wanazotoa
 
Kama tuko sahihi kwa nini tusiwataje kwa majina wajijue kuwa wao ni maadui zetu?

Naona tunawapa sana mipasho badala ya kuwataja kwa majina yao halisi na kuwapa ukweli wa makosa yao na namna tusivyowapenda.

Sio unamwita mbwa mwizi kwenda kuwinda naenda na kula mnyama aliyewinda huku unampa jina la mwizi.

Kama mna ubavu wa kupambana na hao mabeberu watajeni majina tuone kama mwaka utaisha bila kuwaendea kuomba msamaha
 
Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.

Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?

Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache.

Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru Wanamaanisha Wabelgiji kwa sababu ndiko alikotibiwa Lissu. Sasa tuangalie Ubeligiji inatutishia nini sisi Watanzania?

Tuangalie wengine. Tuanza na baba lao USA. Hawa tuna ubalozi nao na wanatupa faida kubwa ya kutulete watalii na biashara. Lakini pia tunapokea misaada yao.

Vivyo hivyo kwa UK, France, German, Canada etc

USA Wana USAID. UK Wana OXFAM. Wengine sijui lakini walikuapo DANIDA, FINIDA, JICA etc.

Mbali na yooote tunawahitaji kwa kile tunachoita watalii. Tunahitaji watalii, mitambo, madawa, vifaa vya elimu n.k Tunawahitaji kwa biashara na misaada.

Wanahitaji Bidhaa zetu nasi tunahitaji zao, tunahitaji pesa zao.

Hawa ndio mabeberu, au kuna wengine mimi siwajui?

China sio beberu! Nchi ambayo ilitaka kujibinafsisha bandari kwa miaka 100!
 
Historia inatufunza tujue tutokapo ili tujue za tulipo na hatimae tupange vema tuendako.
Kiukweli tunajua vema tutokako lakini bahati mbaya sana tunajaribu kuyakana yaliyopita. Na hii inatufanya tusijue hasa tuendako. Yaani eti ndio yunajenga upya.
Haya maswali ni muhimu.
Wapi tumetoka
Tuko wapi
Tunaenda wapi
 
Back
Top Bottom