Kwa hiyo mkuu unategemea mtu maskini(jiwe) aifanye nchi kuwa tajiri?Sisi hatuwakatai hao lakini hatutaki watawale Akili zetu eti wanatupa msaada.our mission ni uchumi wa kunitegemea siyo uchumi tegemezi.kichwani ukiamini kuwa kuna mtu anakusaidiaga huwezi kujitegemea.Tabia ya omba omba haimfanyi mtu akawa tajiri. Wao mabeberu wanatuijaji kuliko tunavyowaitaji sisi.so it should be win win situation. Tabia wanaoitumia kusababibisha vita na kuiba Mali za nchi hatuzitaki.Wameiba mafuta ya Libya na kufanya kuyagandisha kama jiwe leo wanatamba eti 100 years Hawana shida ya mafuta.
Kwa hawa wapuuzi wanao shabikia upinzani huu wa kijinga wala hawakuelewi,wako kama vipofu tu hawaoni na wao wanadhani wako sahihi,utapoteza muda wako bure..hawaelewi kina Tundu Lisu wako kwenye mission za kutafuta pesa nyingi za kuzeekea na familia zao kwa kutumia akili za wajinga na ushabiki usio na maana,ni afadhari kukaa bila ushabiki wa chama cha siasa na kuendesha maisha tu.Sisi hatuwakatai hao lakini hatutaki watawale Akili zetu eti wanatupa msaada.our mission ni uchumi wa kunitegemea siyo uchumi tegemezi.kichwani ukiamini kuwa kuna mtu anakusaidiaga huwezi kujitegemea.Tabia ya omba omba haimfanyi mtu akawa tajiri.wao mabeberu wanatuijaji kuliko tunavyowaitaji sisi.so it should be win win situation. Tabia wanaoitumia kusababibisha vita na kuiba Mali za nchi hatuzitaki. Wameiba mafuta ya Libya na kufanya kuyagandisha kama jiwe leo wanatamba eti 100 years Hawana shida ya mafuta.
Serikali haikusanyi kodi? Kinachoendelea hapa nchini na juhudi za anaye tuongoza hamuoni?Usipounga mkono juhudi fake, ukisapoti upinzani na kuhoji hela za kununua Ndege zimetoka mfuko gani basi fasta unakuwa Kibaraka wa Mabeberu........salama yako ukae Kimya.
Ikiwa hivyo ndiyo wachukue kirahisi kilicho chetu?Still hao ndo wanawalisha indirectly na kufanya ujimwambafy nyuma ya keyboard,fanya kama mnawafukuza wote hivi na misaada yao alafu tuone matokeo yake ndani ya saa 24. Hilo jina kulitamka ni tamu ila ndo huwezi fanya lolote na ukweli utabaki pale pale.
Dawa iwaingie vizuriMkuu hapo umemaliza kila kitu na watulie sasa tuliii!
Sisi hatuwakatai hao lakini hatutaki watawale Akili zetu eti wanatupa msaada.our mission ni uchumi wa kunitegemea siyo uchumi tegemezi. Kichwani ukiamini kuwa kuna mtu anakusaidiaga huwezi kujitegemea. Tabia ya omba omba haimfanyi mtu akawa tajiri.wao mabeberu wanatuijaji kuliko tunavyowaitaji sisi. So it should be win win situation. Tabia wanaoitumia kusababibisha vita na kuiba Mali za nchi hatuzitaki. Wameiba mafuta ya Libya na kufanya kuyagandisha kama jiwe leo wanatamba eti 100 years Hawana shida ya mafuta.
Kwa hawa wapuuzi wanao shabikia upinzani huu wa kijinga wala hawakuelewi,wako kama vipofu tu hawaoni na wao wanadhani wako sahihi,utapoteza muda wako bure..hawaelewi kina Tundu Lisu wako kwenye mission za kutafuta pesa nyingi za kuzeekea na familia zao kwa kutumia akili za wajinga na ushabiki usio na maana,ni afadhari kukaa bila ushabiki wa chama cha siasa na kuendesha maisha tu
Kundi la upinzani linadanganya sana wananchi
Barrick na Acacia waliitwa mabeberu akaja boss wao akawapiga kozi acacia akatupiga maneno matamu baba akamwita yeye na kundi lake WANAUME. Mwanaume akakwepa kihunzi cha $190B ya kukwepa kodi aka ahidi $300 za Goodwill. Hapa watanzania tuamue wenyewe kama kwa serikali yetu kuna tofauti yeyote kati ya beberu na rafiki (mwanamume) au inategemea baba kaamkaje?Ukisikiliza hii hadithi ya mabeberu, halafu inaimbwa na viongozi, ndiyo unaamini kuwa Tanzania tuna mzigo mzito tuliobeba, yaani kuwa na viongozi wasiojua Dunia ilipo na inakoelekea. Tuna bahati mbaya sana.
ππππKipara bila akili na busara ni sawa na kovu la moto
Basi nchi nzima imeshaolewa na mabeberu kwa kuendekeza kupenda vimisaada na vipesa pesa ikiwemo na wewe.Ikiwa hivyo ndiyo wachukue kirahisi kilicho chetu?
Wewe haijarishi ni wa kiume au wa kike lakini utakuja kuolewa kwa sababu ya kusaidiwa vipesa pesa
Umejitoa tu ufahamu. Mzungu hajawahi kutoa msaada kwa mwafrika. Kama una akili ya kawaida, fikiria kwanini hawajawahi kununua mablanketi au sukari ya Tanzania ili kutoa msaada kwa watanzania, badala yake kama ni bidhaa huleta kutoka kwao au kama ni fedha lazima watakupa sharti la kununua baadhi ya mahitaji kutoa kwaoKama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.
Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?
Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache.
Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru Wanamaanisha Wabelgiji kwa sababu ndiko alikotibiwa Lissu. Sasa tuangalie Ubeligiji inatutishia nini sisi Watanzania?
Tuangalie wengine. Tuanza na baba lao USA. Hawa tuna ubalozi nao na wanatupa faida kubwa ya kutulete watalii na biashara. Lakini pia tunapokea misaada yao.
Vivyo hivyo kwa UK, France, German, Canada etc
USA Wana USAID. UK Wana OXFAM. Wengine sijui lakini walikuapo DANIDA, FINIDA, JICA etc.
Mbali na yooote tunawahitaji kwa kile tunachoita watalii. Tunahitaji watalii, mitambo, madawa, vifaa vya elimu n.k Tunawahitaji kwa biashara na misaada.
Wanahitaji Bidhaa zetu nasi tunahitaji zao, tunahitaji pesa zao.
Hawa ndio mabeberu, au kuna wengine mimi siwajui?
Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.
Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?
Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache.
Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru Wanamaanisha Wabelgiji kwa sababu ndiko alikotibiwa Lissu. Sasa tuangalie Ubeligiji inatutishia nini sisi Watanzania?
Tuangalie wengine. Tuanza na baba lao USA. Hawa tuna ubalozi nao na wanatupa faida kubwa ya kutulete watalii na biashara. Lakini pia tunapokea misaada yao.
Vivyo hivyo kwa UK, France, German, Canada etc
USA Wana USAID. UK Wana OXFAM. Wengine sijui lakini walikuapo DANIDA, FINIDA, JICA etc.
Mbali na yooote tunawahitaji kwa kile tunachoita watalii. Tunahitaji watalii, mitambo, madawa, vifaa vya elimu n.k Tunawahitaji kwa biashara na misaada.
Wanahitaji Bidhaa zetu nasi tunahitaji zao, tunahitaji pesa zao.
Hawa ndio mabeberu, au kuna wengine mimi siwajui?