Wajue wanaoitwa Mabeberu na mambo yao kwa Tanzania

Moyo wako umeridhika kuwataja wasukuma si ndio??????
 
Akili zenu za kuvembewa viazi vya kibongo ndo zimeishia hapo.mabeperu ni mfumo wa ubepari uliokomaa.tunaposema mabebaru atumaanishi nchi yoyote ile ya ulaya au mashirika mengine ya kimataifa la hasha.ukisema danida ni beberu unatakiwa kupimwa akili.mababaru ni mfumo uliojificha kwenye unyonyaji na unafanywa na wazungu wachache kwa kutumia akili nyingi na ueledi mkubwa kwa kuziingiza nchi maskini kwenye nyororo wa umaskini ili waendelee kujitajilisha kwa kuzinyonya.mfano makampuni ya madini kama vile accacia kuna mtu anajua baada ya rais magufuli kuzuia makinikia ilifia wap? Dowans,songas, iptl, na mengine kibao makampuni ya madawa kama Arvs. Au rich mond n.k
 
Wewe nawe uko nje ya mada sana.kunatofauti kati ya globalization na beberu.ubeberu ni mfumo wa ubepari uliokomaa.dangote ni mwekezaji anatafuta faida.ameleta mtaji wake sisi tuna raw material ndo rasilimali yetu analipa kodo vzr tunajenga vituo vya afya na zahanati. Ila mabeberu hawalipi kodi ,waingiza madawa ya kulevya, watorosha mchanga eti sio madini, wanataka tusijitegemee ili waendelee kutunyonya kupitia mikataba mibovu nk
 
hakuna kitu ambacho huwa naboleka Kama kusema Tanzania /Africa inalishwa na mabeberu...katka dunia ya leo hakuna taifa au bara linalolishwa na taifa au bara jingine. Hata hao wazungu mnaowapigia magoti na kujinyenyekeza kwao,hawana uwezo wa kujilisha,ili taifa lolote liweze ku survive lazma liuze na kununua kwa taifa jingine. Tanzania inajitunza yenyewe/Africa inajitunza yenyewe.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
tatizo ni uelewa wako mfupi. Ni hivi hata wewe unaweza kuwa beberu. Ukiwa na tabia za fitina,unyonyaji n.k kwa ndugu zako wewe ni beberu.Kwa muktadha wa dola,dola yenye utawala wa kunyonya ,kufitinisha n.k dola zingine hao tunasema ni dola/nchi za mabeberu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
japokuwa binafsi siungi mkono kuwa africa inalishwa na beberu.
lakin nakataa kuwa wazungu hawawezi kujiliaha wenyewe? who said that?
kama wanaweza kuwahudumia watu wao kwa gharama kubwa wakiwa lockdown.. wanashindajwe kuwalisha?

hii misaada wanaotoa kwa baadhi ya nchi afrika, wasingeweza kuitoa kama uwezo wa kulisha watu wao wangekuwa hawana.

na sio kwamba tunawapigia magoti. ila sisi wenyewe ndio tunawaruhusu. tena wakija nyumbani tunawaita wawekezaji,watalii.

and kumalizia haijalishi tunawachukia kiasi gani.
ila hawa jamaa ndipo 85% ya vitu tunavyonunua vinatoka kwao.
from vifaa tiba, madawa, technoligia,mpaka majeshini vifaa vya ulinzi na usalama.. sekta ya usafiri na ujenzi.
sisemi tuendelee kuwa tegemezi.. tunitegemee 100% tusinunue chochote kutoka kwao au kupokea misaada. tukiweza kufanya hivyo ndio tuwatukane kwa raha zetu. ila kwa sasa bado sana
 
Beberu ni yeyote mwenye hoja ambayo imemshinda Magu na mataga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usiandike usichokijua bila utafiti. Kwa taarifa yako vyanfarua vyote vinavyogawiwa na Wizara ya Afya kwa kujikinga na mbu kwa maaada wa USAID na The Global Fund vinatengenezwa kiwanda cha A to Z cha Arusha.

Ukiwa na quality kwenye bidhaa yao unashiriki zabuni na ukiwashinda wenzio kwa bei unapewa biashhara. Ila hawawwzi kuja kununua kitu kwenye kiwanda cha Tanzania ilikuwaeidhisha tu. Kikubwa kwao ni Quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…