Wajue watangazaji 'vichwa'

Wajue watangazaji 'vichwa'

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Angalau hawa ndio watangazaji mahiri na wenye uelewa tulionao sasa. Agness Mbapu.Florence Dyauli.Shaban Kisu.Paul James.Kibonde.Isaac Gamba.Scolastika Mazula.Molesi.Ana Peter.Omunene Ssebo.Sued Mwinyi.Kibwana Dachi.Flora Malya.Magret Cosmas.Luambano.Jeff Leya.Idd Maalim, Omar Katanga na Sechelela Konga. .. Watu kama Hando, Kitenge, Kilumanga na Enock Bwigane ni malimbukeni/vihiyo wanaoboa sana wawapo hewani!!
 
Una matatizo ya macho,masikio na akili.
 
Kabla ya yote naomba niheshimu uhuru wa maoni.
Mkuu najua umetoa maoni yako lakini nami naomba niongezee maoni yangu, kwamba usingewaweka hawa niliowatilia kijani ungeweza kueleweka japo kwa mbaaaaaaaali sana.
 
Kibonde anatukana watu redioni.hana akili kichwani,au anavyosambaza ngoma makusudi.mtaani anadhani hatumuoni,upuuzi anaongeaga asidhani wote tunapenda,radio ni chanzo cha vita rwanda_sugu
 
Kibonde ana uelewa mpana. Wengine hawajui hata Madagascar iko upande gani wa dunia!
 
Kila kizuri kwako kibaya na kila kibaya kwako kizuri kwa watu wengine. Uzi wa kwanza umeponda hata wale wanaofanya vizuri na sasa unawasifia washereheshaji na kuwaita watangazaji.
 
Angalau hawa ndio watangazaji mahiri na wenye uelewa tulionao sasa. Agness Mbapu.Florence Dyauli.Shaban Kisu.Paul James.Kibonde.Isaac Gamba.Scolastika Mazula.Molesi.Ana Peter.Omunene Ssebo.Sued Mwinyi.Kibwana Dachi.Flora Malya.Magret Cosmas.Luambano.Jeff Leya.Idd Maalim, Omar Katanga na Sechelela Konga. .. Watu kama Hando, Kitenge, Kilumanga na Enock Bwigane ni malimbukeni/vihiyo wanaoboa sana wawapo hewani!!
hivi kwani ni lazima kuanzisha thread mkuundugu yangu Waambi?
 
Last edited by a moderator:
Hizi thread za kuandikia bar! hatari sana ......... kibonde???!!!!
 
Ukweli unauma! Kibonde ni mtangazaji classic anaewachana mazuzu.
 
Back
Top Bottom