Wajue zaidi ya Marais 5 walofariki kwa ajali ya ndege

Wajue zaidi ya Marais 5 walofariki kwa ajali ya ndege

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Tukio la ajali ya Rais wa Iran, limefanya wanahistoria kupitia maktaba, na kukita taarifa zifuatazo:

WhatsApp Image 2024-05-20 at 22.03.19.jpeg
WhatsApp Image 2024-05-20 at 22.04.12.jpeg
WhatsApp Image 2024-05-20 at 22.05.55.jpeg
WhatsApp Image 2024-05-20 at 22.06.56.jpeg
WhatsApp Image 2024-05-20 at 22.07.45.jpeg
WhatsApp Image 2024-05-20 at 22.08.25.jpeg
 
Hao watatu ndugu zetu Waafrika hao wa hapo maziwa makuu ajali zao zilikuwa inside job
 
sijaelewa mkuu
Yaani vifo vyao vilipangwa na kutekelezwa na watu waliokuwa wanawaamini ktk serikali walizokuwa wanaziongoza.

Ajali zao zilitokea wakati wakirudi kwenye nchi zao wakitokea Tanzania na huyo wa Rwanda baada ya kifo chake ndiyo kiliamsha genocide hapo Kigali.
 
Back
Top Bottom