Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 May 20, 2024 #1 Tukio la ajali ya Rais wa Iran, limefanya wanahistoria kupitia maktaba, na kukita taarifa zifuatazo:
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 May 20, 2024 #2 Hao watatu ndugu zetu Waafrika hao wa hapo maziwa makuu ajali zao zilikuwa inside job
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 May 20, 2024 Thread starter #3 Saint Anno II said: Hao watatu ndugu zetu Waafrika hao wa hapo maziwa makuu ajali zao zilikuwa inside job Click to expand... sijaelewa mkuu
Saint Anno II said: Hao watatu ndugu zetu Waafrika hao wa hapo maziwa makuu ajali zao zilikuwa inside job Click to expand... sijaelewa mkuu
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 May 20, 2024 #4 Dr. Zaganza said: sijaelewa mkuu Click to expand... Yaani vifo vyao vilipangwa na kutekelezwa na watu waliokuwa wanawaamini ktk serikali walizokuwa wanaziongoza. Ajali zao zilitokea wakati wakirudi kwenye nchi zao wakitokea Tanzania na huyo wa Rwanda baada ya kifo chake ndiyo kiliamsha genocide hapo Kigali.
Dr. Zaganza said: sijaelewa mkuu Click to expand... Yaani vifo vyao vilipangwa na kutekelezwa na watu waliokuwa wanawaamini ktk serikali walizokuwa wanaziongoza. Ajali zao zilitokea wakati wakirudi kwenye nchi zao wakitokea Tanzania na huyo wa Rwanda baada ya kifo chake ndiyo kiliamsha genocide hapo Kigali.
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 May 21, 2024 Thread starter #5 Duuh