Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

wajumbe wa bodi iliwezekana wawekwe ndani, kipindi Mo ametengeneza hundi ya uongo ya 20 billion ya ununuzi wa asilimia 49 za timu walikaa kimya na lile bango la hundi walilishika wao wakiongozwa na mangungu, kumbe hamna hela wala nini.
 
Kwamba Mo alikuwa anaandika cheque ya milioni 500 bila makubaliano?
Uenda makubaliano yalikuwepo lakini sio makubaliano rasmi kisheria kwaiyo hapa bodi ikayakataa hayo makubaliano Mo hana ujanja
Kabla ya Mo hawa wajumbe wa bodi ya wanachama ndo jibu, miaka mitatu wanapokea hela hawasemi baada ya timu kuvurunda na kutakiwa kujiuzulu ndo wanajifanya wanaipenda simba.
Mkuu masuala ya uwekezaji hayo yana taratibu na miongozo yake hauwezi kuleta ubabe au hisia. Ukibugi wenzako wanacheza na loopholes unapigwa na kitu kizito. Mo kaingizwa mjini
 
Tatizo la Simba ni uelewa mdogo wa Viongozi na wanachama wao,huwezi ukawa unaongoza Taasisi bila ya kuwa Wataalamu wa Fedha,Uchumi,Biashara na Wanasheria ambao ndio wataokuwa wanapanga mipango yote ya maendeleo ya Klabu,huwezi ukamleta mwekezaji huku wewe huna wataalamu kwenye Taasisi unayoingoza
Wataalamu si ndo hao kina CPA Issa masoud,wapo upande wa wanachama wanalinda maslahi ya wanachama, ndo maana wanachama wakati wa uchaguzi pamoja na vigezo vyote ya wagombea elimu na uzoefu wa kufanya kazi na maamuzi ktk taasisi kubwa kiwe ni miongoni mwa vigezo, siyo tunachagua kina Kisugu sababu tu wanajua kupiga domo!!
 
Back
Top Bottom