ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Very true,
But swali la Kizushi kwako Mchambuzi
Are you among members of this constitution assembly?
rais na wabunge wa wakati ule, lakini pia rais na wabunge wa ccm ambao ni wengi bado leo mle bungeni walichaguliwa na wananchi, hivyo basi they derived (1977) na leo they derive their mandate from the people"
; vinginevyoto govern the country kwa mujibu wa katiba iliyokuwepo au kuifanyia marekebisho tu ya hapa na pale kwani katiba ya nchi inawapa wabunge such mandate
Kwa mantiki hiyo, can you establish the legality of US Constitution? (Us constitution has never been rewritten as a whole) au let's say Bill of Rights?Hitimisho:
Maamuzi ya muungano (1964), kuingiza mfumo wa chama kimoja (1965), kuiua Tanganyika kupitia sheria namba 22 ya bunge (1965) na kupitisha rasmi mfumo wa muungano wa serikali mbili ya chama (1977),
All this was day light robbery of democracy and its principle by chama cha mapinduzi; inawezekana kwa mazingira ya awali ilieleweka (ingawa not justified) lakini kuendelea to justify historia hii ni makosa makubwa sana na itakuwa ndio chanzo kikubwa cha ccm kuanguka na kupotea katika historia ya siasa za Tanzania siku sio nyingi; tuna fursa ya kukiri makosa ya kihistoria na kujisahihisha haraka iwezekanavyo;
Kuendelea kung'ang'ania hoja kwamba ccm ndio chama tawala, kina mizizi mirefu, kimeaminiwa na walio wengi hivyo kuwa na mandate ya kuamua itakavyo juu ya katiba itakuwa ni kosa la kihistoria ifikapo wisho wa mchakato wa bunge la katiba; hii ni kwasababu kwanza:
Hata maamuzi yenyewe ya kupeleka nchi towards one party state was the most undemocratic decision in the history of our country's politics;
Last but no least:
MwanaDiwani - hoja kwamba TANU/CCM ilifanya maamuzi husika kwa vile it was a popular party na kiliaminiwa na kuungwa mkono na sehemu kubwa ya umma haina mashiko, vinginevyo:
*Kwanini basi chama haikuyaleta haya (hoja ya muungano,hoja ya kuua Tanganyika, hoja ya kuunda katiba ya JMT 1977) in the public and make these issues become election issues kwenye programu na sera za wakati wa kampeni za kuomba ridhaa ya wananchi katika chaguzi kuu? Kama kweli TANU/CCM ilijiamini inakubalika na kuungwa mkono na umma come what may, si ingejiamini tu na kupeleka hoja hizi kwa umma ili ziwe part of election issues wakati wa chaguzi kuu?
Lastly ni juu ya hoja ambayo mwanadiwani et al huitumia sana kupotosha ukweli nayo ni kwamba:
CCM inastahili pongezi kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi licha ya kwamba kwa mujibu wa tume ya nyalali, 80% ya watanzania walipendelea nchi iendelee kuwa chini ya chama kimoja (ccm). Huu ni upotoshaji kwani wahusika wa hoja hii wanaficha ukweli au pengine hawatambui kwamba ripoti hiyo hiyo ya nyalali inaweka wazi kwamba 56% ya watanzania pia pia walitaka mabadiliko makubwa ya mfumo wa demokrasia nchini, mageuzi ambayo kimsingi yasingeweza kutekelezeka under one party state, so soon or later, mfumo wa chama kimoja ungekuja kuwa anguko kubwa kwa ccm miaka michache baadae.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwa mantiki hiyo, can you establish the legality of US Constitution? (Us constitution has never been rewritten as a whole) au let's say Bill of Rights?
Declaration of independence? (How democratic was it?)
Magna Carta.
Au labda ungetufafanulia zaidi dhana ya "Republicanism" na vipimo gani vinatumika generally, nowadays ili ku-detrmine kuwa issue fulani inahitaji uchaguzi wa wananchi directly.
Watakaopata laana ni nyinyi na vizazi vyenu ambao mmejiandaa kwenda bungeni kukwamisha matakwa, ndoto na matumaini ya wananchi walio wengi kwa kumtumia vibaya baba wa taifa kukidhi haja na tamaa zenu za matumbo na madaraka kuikataa Tanganyika;
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu Mchambuzi, kwanza asante kwa mada fikirishi!. Naomba kutofautiana na wewe kuhusu hiki kitu kinachoitwa "Mkataba wa Muungano" ukimaanisha a "contract" ya muungano!, naomba nikujulishe kuwa hicho kinachoitwa "mkataba" wa muungano, sio lolote, sii chochote, hakuna mkataba wowote wa muungano uliosainiwa!. Hicho kinachoitwa ni "mkataba" wa muungano , its only purpopted to be "mkataba" but what real happened ni "makubaliano" ya muungano " yaani "an agreement", "kila mkataba ni makubaliano, ila sio kila makubaliano ni mkataba!", " every contract is an agreement, but not every agreement is a contact!"*Je, Rais alipata mamlaka hiyo kutoka wapi?
Rais alipata mamlaka hayo kutoka kwenye mkataba wa muungano (1964) ambao ulipata baraka za bunge la Tanganyika na BLW zanzibar, na ndio maana hata tue ya warioba imetilia ukweli huu maanani; This was stipulated ndani ya mkataba wa muungano (1964) - the international agreement/treaty signed the two heads of two "sovereign states" the state of Tanganyika and the state of Zanzibar;
Cc Zakumi, gfsonwin, Nguruvi3, happyfeet, Mkandara, Nape Nnauye, MTAZAMO, Kobello, Ritz, zomba, Pasco, chama, Kichuguu, Kimbunga, Mag3, EMT, Jasusi, JokaKuu, HKigwangalla, Bongolander, Zinedine, Mzee Mwanakijiji
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Lengo la Mwalimu kukataa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ilikuwa ni ku-buy time ili kususid wafikie kuwapo kwa serikali moja tu. Ile hatua ya kuunganisha TANU na ASP ndiyo ilikuwa hatua ya kwanza katika lengo lake, kiasi kuwa iawapo nchi itakuwa na chama kimoja tu, basi baadaye itakuwa ni rahisi kwa chama hicho kukubali kuunda serikali moja tu. Wakati akiofikiria ndoto hiyo, ni pale USSR nayo ilikuwa ni taifa kubwa ambalo ni muungano wa nchi kadhaa na serikali moja tu. Baada muungano wa USSR kuvunjika, na ile block ya nchi za Mashariki ziliyokuwa chini ya WARSAW pact kusambaratika, ndipo ikabidi kurudi kwenye siasa za Magharibi za vyama vingi. Sasa uwepo wa vyama vingi ulikuwa haugurantee kuundika kwa serikali moja ingawa sheria ya vyama ililazimisha kidogo kuwa lazima chama kiwe na presence katika pande zote mbili za Muungano.
Kwa vile mazingira aliyokuwa akifikiria Nyerere hayapo tena nchini, siamini kuwa hofu yake na lengo lake la wakati huo bado ni relevant leo. Ni vizuri kwa Watanganyika nao kuwa na ukumbi wa kujiamulia mambo yako kuliko hivi sasa ambapo Wazanzibari wa ukumbi wao ambao huutumia kulalamika na kuwanyanyasa na kuuwa watu wa Tanganyika bila kufanyiwa lolote wakati wale wa Tangayika hawana chombo cha namna hiyo. Wakati Serikali ya Muungano ikiongozwa na Mwinyi, ndiye pia alikuwa anateua wakuu wa miko na Wilaya zote za Tanganyika wakati kule Zanzibar kuna Rais anayeteua wakuu wa wilaya za huko; Mwinyi alikuwa anaweza kabisa kumteua Mzanzibar kuwa mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya ya Tanganyika. bila kuulizwa mradi tu hayo yalikuwa ni majukumu ya serikali ya Muungano. Bungeni leo, utaona kuwa wakati mbunge mmja wa Zanziba anawakilisha watu wasiofikia 100, ana nguvu sawa kabisa na yule ya Tanganyika anayewakilisha watu zaidi ya laki saba; hata kama jambo linalizungumzwa bungeni linaihusu Tanganyika tu.
Mkuu Mchambuzi, kwanza asante kwa mada fikirishi!. Naomba kutofautiana na wewe kuhusu hiki kitu kinachoitwa "Mkataba wa Muungano" ukimaanisha a "contract" ya muungano!, naomba nikujulishe kuwa hicho kinachoitwa "mkataba" wa muungano, sio lolote, sii chochote, hakuna mkataba wowote wa muungano uliosainiwa!. Hicho kinachoitwa ni "mkataba" wa muungano , its only purpopted to be "mkataba" but what real happened ni "makubaliano" ya muungano " yaani "an agreement", "kila mkataba ni makubaliano, ila sio kila makubaliano ni mkataba!", " every contract is an agreement, but not every agreement is a contact!"
Ili makubaliano yoyote yaitwe mkataba, yaliza kwanza yawe na lengo la "to create a legal and binding relations", ili kuweka legal na binding, lazima kuwe na kipengele cha kuvunjika kwa mkataba!. Makubaliano yale ya muungano, hayakuweka kipengele chochote kuhusu namna ya kuuvunja mkataba huo, hivyo kukosa sifa za mkataba wa kimataifa!.
Serikali ya Tananzia kule UN imeanzishwa on a lie!, kuwa huo mkataba upo!. Nadhani baada ya wanasheria kugundua mapungufu kwenye mkataba huo, they recalled all the signed copies, ili warekebishe, wasaini tena kwa backdate, then indigo wau file as "an international agreement/treaty signed the two heads of two "sovereign states", but muds huh haukupatikana tena!. Hakuna copy coyote ndani Bunge la JMT!, hakuna copy ndani ya BLW!, hakuna copy kwenye ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa!, hakuna copy kule UN!.
Hili nimelizungumza hapa, Jee Wajua kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano ...
na hapa Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
na hapa Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu ...
na pia nimelizungumza hapa Jee Wajua Kuwa Kuna Uwezekano Tanzania Sii Nchi Halali Kisheria ,
Ukiondoa hayo, tuendelee na majadiliano.
Pasco.
Mkuu Kichuguu, laiti ungelijua tofauti baina ya contract and agreement ungenielewa, nakusisitizia muungano ni makubaliano ya muungano, na sio contract ta muungano!. Kama vipi tukutanie hapa Jee Wajua kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano ...tubishane kuhusu hiliHapana, madai yako kuhusu makubaliano na mkataba wa muungano siyo sahihi kabisa. Ukitaka kuwa ideal, basi mkataba halali wa Muungano basi ulitakiwa usainiwe baina ya Nyerere na Shamte wala siyo Karume kwa vile Karume hakuwa kiongozi wa halali wa Zanzibar chini ya mtazamo wako, kwani mkataba uliokuwapo wa kisheria kuhusu serikali ya Zanzibar ni pale Uingereza ilipotoa uhuru kwa kumkabidhi Shamte aunde serikali chini ya sultani. Karume na genge lake walichukua madaraka kwa nguvu na kwa vile baada ya wao kuchukua madaraka kwa nguvu hakukuwa na katiba wala mfumo wowote wa uongozi bali amri ya Karume na Baraza lake la mapinduzi, basi kila walichofanya ndicho kilikuwa msimamo wa serikali yao. Sasa basi, kwa vile Karume ndiye aliingia makubalianao hayo kwa niaba ya Zanzibar, na ndiye aliyekuwa kiongozi wakati huo wala hakukuwa na structure nyingine yoyote ya kisheria zaidi yake na baraza lake la mapinduzi, basi alichochokubaliana na kuandikiana na Nyerere ndiyo instrument yenyewe na hiyo ni legal unless kwanza unapinga Mapinduzi yaliyompa mamlaka hayo. Mkataba unaweza kuwa umeandikwa katika kurasa miamoja ua nusu ukurasa; mradi umetiwa sahihi na authorities zinaztambuliwa, ambapo kwa hili authorities alikuwa ni Karume na Nyerere. Kwa upande wa Tanganyika kulitakiwa pia bunge lithibitishe, wakati kwa upande Zanzibar Karume ndiye aliyekuwa mwamuzi wa wa mwisho.
Tangazo la Muungano lililotolewa UN ni hili!,Katika charter ya UN, hakuna kifungu kinachosema ili nchi mbili ziungane lazima zipeleke nakala ya mktaba wake kwenye umoja wa mataifa. Kinachotakiwa ni kwa serikali za nchi hizo kutambuliwa na security council pamoja na general assembly. Kwa hiyo madai ya kutokuwepo kwa nakala ya mkataba huko umoja wataifa haina maana yayote ya msingi.
lilisema kuna mkataba, na copy imeambatanishwa na tangazo hilo!, hakuna copy iliyoambatanishwa na tangazo hilo. Tunaweza kukutana hapa kwa majadiliano zaidi Jee Wajua Kuwa Kuna Uwezekano Tanzania Sii Nchi Halali KisheriaNote Verbale ile
Pasco.
- " . . . the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar were united as one Sovereign State on 26 April 1964, under the name of the United Republic of Tanganyika and Zanzi- bar and under the presidency of Mwalimu Julius K. Nyerere. A copy of the said Articles of Union is enclosed herewith.
"The Secretary-General is asked to note that the United Republic of Tanganyika and Zanzibar declares that it is now a single Member of the United Nations bound by the provisions of the Charter, and that all international treaties and agreements in force between the Republic of Tanganyika or the People's Republic of Zanzibar and other States or international organizations will, to the extent that their implementation is con- sistent with the constitutional position established by the Articles of Union, remain in force within the regional limits prescribed on their conclusion and in accordance with the principles of international law."
Kutokuwapo kwa clause ya kuuvunja hakumaanishi kuwa huo siyo mkataba. Kuna mikataba mingi ambayo haina clauses ya kuzivunja: kwa mfano mikataba ya ndoa za medhehebu fulani ya kikristo hazionyeshi talaka, na serikali inaitambua mikataba hiyo. Ule mkataba wa kubadilishana Heligo na zanzibar baina ya wajerumani na waingereza haukuwa na kifungu cha kurudishiana visiwa hivyo baada ya kubadilishana. Makubaliano ya states zote za marekani kuindia kwenye union haina vifungu vya kujiondoa, ukishaingia umeingia: ni one way traffic. Hata mikataba ya nchi zetu kupata uhuru, haikuwa na clauses za kurudishwa tena kwa ukoloni.
Kwa hiyo makubaliano au mkataba baina ya Nyerere na Karume ulikuwa ni halali; tunaweza kuutengua leo kwa kutumia structures za kisheria zilizopo iwapo tunaona hauna maslahi kwetu lakini siyo kwa sababu haukuwa halali.
Kwa mantiki hiyo, can you establish the legality of US Constitution? (Us constitution has never been rewritten as a whole) au let's say Bill of Rights?
Declaration of independence? (How democratic was it?)
Magna Carta.
Au labda ungetufafanulia zaidi dhana ya "Republicanism" na vipimo gani vinatumika generally, nowadays ili ku-detrmine kuwa issue fulani inahitaji uchaguzi wa wananchi directly.
there is a point when even a magician runs out tricks
Mkuu hapa nadhani kidogo umetoka nje maana hakuna makubaliano ama Mkataba wowote wa Muungano wa nchi kuunda Jamhuri wenye kipengele cha jinsi ya kuvunja muungano huo - HAKUNA, isipokuwa unaweza tu kukiona kipengele hicho ktk makubaliano ambayo hayawezi kuunda Jamhuri isipokuwa huunda JUMUIYA.Mkuu Mchambuzi, kwanza asante kwa mada fikirishi!. Naomba kutofautiana na wewe kuhusu hiki kitu kinachoitwa "Mkataba wa Muungano" ukimaanisha a "contract" ya muungano!, naomba nikujulishe kuwa hicho kinachoitwa "mkataba" wa muungano, sio lolote, sii chochote, hakuna mkataba wowote wa muungano uliosainiwa!. Hicho kinachoitwa ni "mkataba" wa muungano , its only purpopted to be "mkataba" but what real happened ni "makubaliano" ya muungano " yaani "an agreement", "kila mkataba ni makubaliano, ila sio kila makubaliano ni mkataba!", " every contract is an agreement, but not every agreement is a contact!"
Ili makubaliano yoyote yaitwe mkataba, yaliza kwanza yawe na lengo la "to create a legal and binding relations", ili kuweka legal na binding, lazima kuwe na kipengele cha kuvunjika kwa mkataba!. Makubaliano yale ya muungano, hayakuweka kipengele chochote kuhusu namna ya kuuvunja mkataba huo, hivyo kukosa sifa za mkataba wa kimataifa!.
Serikali ya Tananzia kule UN imeanzishwa on a lie!, kuwa huo mkataba upo!. Nadhani baada ya wanasheria kugundua mapungufu kwenye mkataba huo, they recalled all the signed copies, ili warekebishe, wasaini tena kwa backdate, then indigo wau file as "an international agreement/treaty signed the two heads of two "sovereign states", but muds huh haukupatikana tena!. Hakuna copy coyote ndani Bunge la JMT!, hakuna copy ndani ya BLW!, hakuna copy kwenye ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa!, hakuna copy kule UN!.
Hili nimelizungumza hapa, Jee Wajua kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano ...
na hapa Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?
na hapa Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu ...
na pia nimelizungumza hapa Jee Wajua Kuwa Kuna Uwezekano Tanzania Sii Nchi Halali Kisheria ,
Ukiondoa hayo, tuendelee na majadiliano.
Pasco.
Mkuu Kichuguu, laiti ungelijua tofauti baina ya contract and agreement ungenielewa, nakusisitizia muungano ni makubaliano ya muungano, na sio contract ta muungano!. Kama vipi tukutanie hapa Jee Wajua kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano ...tubishane kuhusu hili
Tangazo la Muungano lililotolewa UN ni hili!,
lilisema kuna mkataba, na copy imeambatanishwa na tangazo hilo!, hakuna copy iliyoambatanishwa na tangazo hilo. Tunaweza kukutana hapa kwa majadiliano zaidi Jee Wajua Kuwa Kuna Uwezekano Tanzania Sii Nchi Halali Kisheria
Hili la nini ni mkataba, na nini sii mkataba, ni la kisheria zaidi, kila mkataba ni makubaliano, ila sio kila makubaliano ni mkataba!. Kikikosekana kipengele cha jinsi ya kuuvunja mkataba, unakuwa sio mkataba tena bali ni makubaliano!. Hati zote za Ndoa zote ni mkataba, haijalishi umefungia kwa Shehe, Imamu, Kanisani, kwa DC au ukumbini!, hati ni moja ni kataba na unaeleza wazi kukitokea nini na nini, mkataba unavunjika! na zinatawaliwa na sheria moja!. Unaqeza kunirejelea hapa Jee Wajua kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano ...
Pasco
Nia yangu ni kufuata mkondo huhuu wa uhalali wa Rais kuchagua bunge la katiba.Mkuu Kobello, swali lako zuri lakini iwapo tu linatusaidia kujenga na sio kubomoa hoja husika. I believe you are from the former, not the latter;
Kwa ujumla wake, swali hili lina umuhimu kwa maana kuu mbili:
*Kwanza, wapo wana ccm ambao wanajaribu kufanya suala la muungano kuwa ni suala sacred au ordained from God wakati ukweli ni kwamba muungano wetu ni human creation, its not God-Sent;
Pili,wapo wanaojificha nyuma ya hoja kwamba kuna vitu unwritten mfano conventions fulani fulani lakini still zipo practiced kwa mujibu wa sheria; kundi hili la hoja pia linaweza kuwa na mtazamo kama wa kwako hapo juu;
Ningependa kujadili suala husika kwa ujumla wake kama ifuatavyo, hasa kwa kuangalia vitu practical (mahusiano yetu na taifa la Uingereza kiutawala kuliko nadharia za taifa la Marekani).
Nitajadili katika muktadha wa Uingereza kwa sababu kuu mbili:
Kwanza - uingereza ni former colonial power wa Tanganyika ;
Pili, Uingereza ina "unwritten constitution", hence offers us a fertile ground to analyze hoja za kundi la pili pale juu;
Uingereza ni former colonial power wa nchi yetu, na ni taifa ambalo as already said, it has "unwritten constitution"; badala yake, uingereza ni taifa lenye "constitutional conventions" kadhaa ambazo zimekuwa developed over the years tena kwa muda mrefu sana; chini ya mazingira ya kawaida, hakuna mtawala wa uingereza ambae atathubutu to breach hizi conventions; kwa kifupi, hizi conventions za uingereza zina derive their binding character kutoka kwenye political practice ya muda mrefu sana ya taifa la uingereza, conventions ambazo zimejipatia "historical legitimacy", na sio kupitia nyaaka yoyote ya kisheria;
Kinadharia, however, bunge la uingereza lina uwezo wa kupitisha sheria za ku-breach such conventions; kwa mantiki hii, bunge la uingereza sio tu ni sovereign lakini pia ni supreme (tutajadili hili kwa kina ikibidi baadae).
That said and done, Kobello, wakati uingereza as our former colonial master haina a written constitution, makoloni yake yote including Tanganyika yalipewa written constitutions siku zao za uhuru; in actual fact, international sovereignty ya mataifa yote huru ambayo yalikuwa chini ya mwingereza (ikiwa ni pamoja na Tanzania) yalikuwa legally constituted na constitutions ambazo zilikuwa issued kule Lancaster Hall, London; Note kwamba - Katiba hizi zilikuwa enacted na bunge la Uingereza, hivyo basi hata katiba yetu ya kihistoria (1977) derived its legitimacy and authority kutoka kwenye bunge la former colonial power - mwingereza;
Hata 1962 ambapo Tanganyika huru ilijipatia katiba yake ya kwanza, we amended katiba iliyopitishwa kwa mujibu wa sheria za bunge la uingereza, na hata ile ya 1977 ambayo tuliita katiba mpya ya JMT, bado ina elements hizo hizo; kwa kifupi, if we trace the "legal gene" ya katiba yetu ya sasa (1977) pamoja na mabadiliko kadhaa ya katiba hii tangia uhuru hadi leo, and katiba mpya ijayo ambayo kuna kila dalili itakuwa ni ya ki-ccm zaidi kuliko kitaifa, bado tutakuwa hatuna budi to trace it kwa mkoloni kwa maana kwamba pamoja na kwamba mkoloni ana katiba unwritten, katiba yetu ilipitishwa na written laws za bunge la uingereza;
Inawezekana ikaonekana sijajibu swali lako but that's the best I could, hasa kwamba lengo langu ni ku challenge hoja ambazo naona zitafuata soon or later kuhusu muungano haupo anywhere signed as evidence au hoja kwamba we should treat muungano as something sacred or ordained from his almighty - God;
Cc Pasco
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
OMG ..... If anything, serikali tatu ni msimamo na umekua msimamo wa CCM huku bara for yeaRS. sERikali tatu si msimamo wa ASP part of CCM. Ni vizuri tukalielewa hili. Na kwa CCM kuruhusu serikali tatu ni sawa na kuuvunja muungano kwa sababu CENTRAL GOVERNMENT WILL HAVE NEITHER THE JURISDICTION NOR THE POWER.Mchambuzi nadhani tukiacha mbali na uchambuzi makini wa hoja kuhusu muungano ni lazima tunagalie vitu viwili hapa. Kuna main two power players kwenye suala la katiba, hasa kwenye kipengele cha Muungano.
First player ni Seif Sharif Hamad (in the disguise of CUF au Wazanzibar), yeye anajua kuwa usultani Zanzibar kamwe hauwezi kurudi ndani ya serikali mbili au serikali moja. Ndio maana yeye anaona either serikali tatu with highest degree of autonomy for Zanzibar and lot of benefits from mainland, or die.
Second player ni CCM bara. Kimsingi kwa sasa CCM haina tena legitimacy miongoni mwa watanzania, kwa hiyo chama kimekaa mkao wa kufa. Kwa sasa kinalindwa na dola, na msingi wake wa kulindwa ni katiba ya sasa in its shape. kama rasimu ya katiba ya sasa ikipita, it will erode some of what has left for CCM to survive and be protected by security elements. Katiba mpya ikipita kama inavyosema rasimu ya Warioba, ni step moja ya kuiimarisha Tanganyika, kuidhoofisha CCM na hatimaye kuiua, this is a fact.
Wengi tunajua kuwa CCM wanaweza kumanipulate matokeo ya chaguzi na kukwepa verdict ya wananchi, lakini hii ya kukusanya maoni ya watu kitaalamu ni kama ni vigumu kuikwepa, na still ni verdict ya wananchi dhidi ya CCM. Survival ya CCM kwa sasa au kukwepa verdict hii, iko kwenye kupinga vikali rasimu hiyo, kwa CCM hii ni matter of life and death.
OMG ..... If anything, serikali tatu ni msimamo na umekua msimamo wa CCM huku bara for yeaRS. sERikali tatu si msimamo wa ASP part of CCM. Ni vizuri tukalielewa hili. Na kwa CCM kuruhusu serikali tatu ni sawa na kuuvunja muungano kwa sababu CENTRAL GOVERNMENT WILL HAVE NEITHER THE JURISDICTION NOR THE POWER.
Jaribu kutuelezea labda, kuwepo kwa Tanganyika, kutaizuia vipi CCM kuwa na madaraka? Na hii rasimu imeleta kitu gani kigeni? Hoja ya uchakachuaji ni very weak ... linda vkura yako.