Wajumbe CCM ni kirusi nchini, Wanakula rushwa na kupitisha viongozi wasiofaa

Wajumbe CCM ni kirusi nchini, Wanakula rushwa na kupitisha viongozi wasiofaa

Hello jf members,
Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
1754387236507.jpeg
 
Ikiwa chama kinalitambua hili kuna haja ya kuchukua hatua. CCM 👍
 
Wajumbe sio shida zao 😹
Ila kwa uchaguzi huu wa veggies wajumbe wameonewa, kura zilikua na uwalakini na figisu nyingi..!!
 
Hello jf members,
Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
Wajumbe wenyewe wanapatikana Kwa njia ya rushwa, unategemea wachague bila kula rushwa(kurudisha gharama walizozitumia kuupata ujumbe)? CCM hata Rais akitia Nia lazima atoe rushwa ili apigiwe kura na wajumbe.

CCM is a source of all evils.
 
Back
Top Bottom