chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,166
- 2,416
Hello jf members,
Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
Mjumbe anabugia mlungula kwa mtindo wa caffeine ili achangamshe ubongo.
Wajumbe wenyewe wanapatikana Kwa njia ya rushwa, unategemea wachague bila kula rushwa(kurudisha gharama walizozitumia kuupata ujumbe)? CCM hata Rais akitia Nia lazima atoe rushwa ili apigiwe kura na wajumbe.Hello jf members,
Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
Rushwa siyo kosa wala uhalifu chini ya ccmHello jf members,
Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.