Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Gama inaonekana hujui chochote na umekurupuka kuja kuchangia hii topic.
Mchakato wa uteuzi ulianzia kwenye Kundi/taasisi husika kwa kupendekeza majina kwa Rais na rais atatakiwa kuteua wajumbe kutoka kwenye hiyo Orodha.
Tatizo hasa ni kwamba wengine walioteuliwa na rais hawakuwa kabisa kwenye majina ya mapendekezo ya makundi husika na bahati mbaya sana wote ni Makada wa CCM.
Na jambo lingine la ajabu ni kuwa kuna Taasisi/Makundi ambazo hakuna hata mtu mmoja aliyeteuliwa japokuwa walipendekeza majina na walistahili kupata wajumbe. Kwa mfano Muungano wa Makanisa ya Pentecoste(PCT), Chama cha Madaktari(MAT) nk.
uhauhaklika kwenye makundi yaliyotakiwa kuwakilishwa kundi hilo (kwenye red) ilikuwa listed?, nijuavyo mimi kulikuwa na kundi la madhehebu ya kidini na PCT--- bias.?????