Wajumbe feki wa bunge la katiba hawa hapa

Wajumbe feki wa bunge la katiba hawa hapa

Gama inaonekana hujui chochote na umekurupuka kuja kuchangia hii topic.

Mchakato wa uteuzi ulianzia kwenye Kundi/taasisi husika kwa kupendekeza majina kwa Rais na rais atatakiwa kuteua wajumbe kutoka kwenye hiyo Orodha.
Tatizo hasa ni kwamba wengine walioteuliwa na rais hawakuwa kabisa kwenye majina ya mapendekezo ya makundi husika na bahati mbaya sana wote ni Makada wa CCM.

Na jambo lingine la ajabu ni kuwa kuna Taasisi/Makundi ambazo hakuna hata mtu mmoja aliyeteuliwa japokuwa walipendekeza majina na walistahili kupata wajumbe. Kwa mfano Muungano wa Makanisa ya Pentecoste(PCT), Chama cha Madaktari(MAT) nk.

uhauhaklika kwenye makundi yaliyotakiwa kuwakilishwa kundi hilo (kwenye red) ilikuwa listed?, nijuavyo mimi kulikuwa na kundi la madhehebu ya kidini na PCT--- bias.?????
 
Ndo shida ya kupoka hoja ambazo hujajipanga namna ya kuitekeleza. Hoja ya katiba ilikuwa ya cdm so hao ccm waliidandia tu.
Kufanya uteuzi wenye kasoro kama huu ni kuwadharau na kuwapuuza waliofanya uteuzi wa awali na
kwa kisingizio cha kupendekeza majina ya watu dhaifu.
Kujaza wanachama wa chama tawala ni uwoga wa kushindwa kwao na wamesahau kuwa katiba ni ya wananchi.
Hata kama ni shukrani mkulu ameitoa sivyo kwa kina kingunge na wenzake.

Kama list hiyo iliyoandikwa na mdau ni kweli, basi itunzwe for further reference, hii itasaidia kufanya evaluation kama tukikosa katiba tuweze kujua bad indicators zilikuwa ni nini, hii ya ukada ikiwa miongoni mwa kasoro, tutakuwa tumejifunza.
 
Kwahiyo kuwa member alma kada small kuongozi was ccm ndio disqualification?. Nijuavyo Mimi nomination procedure ilikuwa wazi, ungetugafa Julia namna ambavyo procedure ilikiukwa ingesaidia GT kuendeleza name kunogesha mjadala.

Naomba msaada mtu aniandikie alichoeleza mkuu hapa, halafu ndio nisome nielewe.
Maana sijamuelewa kabisa.
 
Wajumbe feki wa bunge la katiba.

1. Kingunge Ngombale Mwiru - ameteuliwa kupitia NGO wakati hana sifa hizo

2. Elizabeth Minde - ni kiongozi kwenye jumuiya ya CCM mkoani Kilimanjaro

3. Evod Herman Mmanda - mjumbe wa NEC wilaya ya Rombo

4. Mary Paulo Daffa - kada wa CCM mkoa wa Singida

5. Adila Vuai - mfanyakazi wa idara ya mambo ya nje ofisi ya Kisiwandui Zanzibar

6. Shamim Khan - amewaahi kuwa mjumbe wa NEC na naibu waziri wa viwanda na biashara

7. Yasmin Haloo - kiongozi wa umoja wa wazazi CCM

8. Paulo Makonda - mkuu wa idara ya uhamasishaji UVCCM

9. Jesca Msambatavangu - mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa

10. Zainab Gama - mbunge wa zamani wa Kibaha

11. Hassan Wasakuvi- mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora

12. Yusufu Omari Chunda - kada maarufu wa CCM Zanzibar,NEC mjumbe

13. Shaka Hamdu Shaka - kada maarufu wa CCM Zanzibar,naibu katibu mkuu UVCCM Zanzibar

14. Waziri Rajabu - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

15. Issa Ameir Suleiman - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

16. Mohamed Abdallah Ahmed - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

Mkuu taja na kada za uwakilishi wao kila mmoja bungeni kwa sasa tujue kweli ni feki,inawezekana wengine wanawakilisha vyama vyao.
 
jipendekeze kwa wakubwa hata wakikushikashika ------ wewe unacheka tu, utapata

ushauri mdogo kwako,heshimu watu hata kama hawakufahamu au hawana athari zozote kwako,umenikosea heshima na umenisikitisha kwa kauli yako hiyo hapo juu
 
Wajumbe feki wa bunge la katiba.

1. Kingunge Ngombale Mwiru - ameteuliwa kupitia NGO wakati hana sifa hizo

2. Elizabeth Minde - ni kiongozi kwenye jumuiya ya CCM mkoani Kilimanjaro

3. Evod Herman Mmanda - mjumbe wa NEC wilaya ya Rombo

4. Mary Paulo Daffa - kada wa CCM mkoa wa Singida

5. Adila Vuai - mfanyakazi wa idara ya mambo ya nje ofisi ya Kisiwandui Zanzibar

6. Shamim Khan - amewaahi kuwa mjumbe wa NEC na naibu waziri wa viwanda na biashara

7. Yasmin Haloo - kiongozi wa umoja wa wazazi CCM

8. Paulo Makonda - mkuu wa idara ya uhamasishaji UVCCM

9. Jesca Msambatavangu - mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa

10. Zainab Gama - mbunge wa zamani wa Kibaha

11. Hassan Wasakuvi- mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora

12. Yusufu Omari Chunda - kada maarufu wa CCM Zanzibar,NEC mjumbe

13. Shaka Hamdu Shaka - kada maarufu wa CCM Zanzibar,naibu katibu mkuu UVCCM Zanzibar

14. Waziri Rajabu - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

15. Issa Ameir Suleiman - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

16. Mohamed Abdallah Ahmed - ameteuliwa kama mvuvi kutoka Zanzibar lakini wavuvi wamemkana

Ili kuonyesha kuwa hauko biased ungeeleza wasomaji pia kwamba ELIZABETH MINDE pamoja na kuwa kiongoz wa CCM Lakini pia ni MKURUGENZI wa shirika la KWIECO asasi inayotoa msaada wa kisheria mkoani KILIMANJARO na pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea ambaye mchango wake kwa wana kilimanjaro unaheshimika sana. suala la kuwa ccm si dhambi na sheria haimkatazi yy kugombea nafas hiyo kipitia NGOs
 
hata members wote wa jf ni feki, wanatumia fake names,fake jinsia,fake umri,fake avatars,fake occupations,fake biography,fake comments,fake kila kitu,etc.

Kwa maneno yako haya nakuunga mkono 100% ni KWELI kabisa.
 
Kingunge kapitia nafasi za waganga wa kienyeji
 
uhauhaklika kwenye makundi yaliyotakiwa kuwakilishwa kundi hilo (kwenye red) ilikuwa listed?, nijuavyo mimi kulikuwa na kundi la madhehebu ya kidini na PCT--- bias.?????

Mambo ya screen touch hayo si mchezo!
 
Back
Top Bottom