Wajumbe feki wa bunge la katiba hawa hapa



uhauhaklika kwenye makundi yaliyotakiwa kuwakilishwa kundi hilo (kwenye red) ilikuwa listed?, nijuavyo mimi kulikuwa na kundi la madhehebu ya kidini na PCT--- bias.?????
 

Kama list hiyo iliyoandikwa na mdau ni kweli, basi itunzwe for further reference, hii itasaidia kufanya evaluation kama tukikosa katiba tuweze kujua bad indicators zilikuwa ni nini, hii ya ukada ikiwa miongoni mwa kasoro, tutakuwa tumejifunza.
 
Kwahiyo kuwa member alma kada small kuongozi was ccm ndio disqualification?. Nijuavyo Mimi nomination procedure ilikuwa wazi, ungetugafa Julia namna ambavyo procedure ilikiukwa ingesaidia GT kuendeleza name kunogesha mjadala.

Naomba msaada mtu aniandikie alichoeleza mkuu hapa, halafu ndio nisome nielewe.
Maana sijamuelewa kabisa.
 

Mkuu taja na kada za uwakilishi wao kila mmoja bungeni kwa sasa tujue kweli ni feki,inawezekana wengine wanawakilisha vyama vyao.
 
jipendekeze kwa wakubwa hata wakikushikashika ------ wewe unacheka tu, utapata

ushauri mdogo kwako,heshimu watu hata kama hawakufahamu au hawana athari zozote kwako,umenikosea heshima na umenisikitisha kwa kauli yako hiyo hapo juu
 

Ili kuonyesha kuwa hauko biased ungeeleza wasomaji pia kwamba ELIZABETH MINDE pamoja na kuwa kiongoz wa CCM Lakini pia ni MKURUGENZI wa shirika la KWIECO asasi inayotoa msaada wa kisheria mkoani KILIMANJARO na pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea ambaye mchango wake kwa wana kilimanjaro unaheshimika sana. suala la kuwa ccm si dhambi na sheria haimkatazi yy kugombea nafas hiyo kipitia NGOs
 
hata members wote wa jf ni feki, wanatumia fake names,fake jinsia,fake umri,fake avatars,fake occupations,fake biography,fake comments,fake kila kitu,etc.

Kwa maneno yako haya nakuunga mkono 100% ni KWELI kabisa.
 
Kingunge kapitia nafasi za waganga wa kienyeji
 
uhauhaklika kwenye makundi yaliyotakiwa kuwakilishwa kundi hilo (kwenye red) ilikuwa listed?, nijuavyo mimi kulikuwa na kundi la madhehebu ya kidini na PCT--- bias.?????

Mambo ya screen touch hayo si mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…